KUKATALIWA NA KUUMIZWA NI MCHAKATO WA KUHAMISHWA KUTOKA KATIKA ENEO LA KUFIKILIKA NA KUPELEKWA LATIKA ENEO LA UDHIHIRISHO WA FIKRA ZAKO (MAONO). Yusufu alitoa ndoto ya kuwa… Read more “Kukataliwa na kumizwa kuna sababu yake.”
Month: May 2021
Ukosoaji wako uko vipi!!!!
Ni kipi kiko nyuma ya ukosoaji wako? Je! Unakosoa kwa lengo la kurekebisha ili kujenga? Au unakosoa kwa lengo la kuchafua ili kuharibu? Katika maswali haya mawili… Read more “Ukosoaji wako uko vipi!!!!”
Wanaume huwa wanatafakari kabla ya kuoa….
Wanaume huwa tunaoa baada ya kujitafakari kwa kina, maana kikubwa tunachokitaka kwenye ndoa ni amani na kuheshimiwa.Hapa siongelei wanaume wote bali naongea juu ya wanaume wenye mitazamo… Read more “Wanaume huwa wanatafakari kabla ya kuoa….”
Ufanyapo Jambo likatafsiriwa vibaya.
Unaweza kufanya jambo kwa nia njema lakini likatafsirika vibaya. Lakini pia unaweza kufanya jambo kwa nia mbaya na likatafsirika vyema. Haya ni mafumbo ambayo mwanadamu asiye na… Read more “Ufanyapo Jambo likatafsiriwa vibaya.”
Mwenye nguvu huwalinda wasio na nguvu.
Mwenye nguvu huwalinda wasio na nguvu, tajiri kwa ajili ya maskini, mwenye nacho kwa ajili ya wasio nacho, na mwenye hekima kwa ajili ya wasio na hekima,… Read more “Mwenye nguvu huwalinda wasio na nguvu.”
Baraka na utajiri ni vitu viwili tofauti.
Baraka na utajiri ni vitu viwili tofauti kama vile laana na umasikini vilivyo tofautiana.Watu wengi tumekuwa na mtazamo hafifu juu ya baraka za Mungu kwenye maisha ya… Read more “Baraka na utajiri ni vitu viwili tofauti.”