
Mafanikio huwa hayamtupi mpambanaji!Endelea kupambana tu; ni kwa ajili yako na wanaokuzunguka;
Mpambanaji haogopi mchakato hata uwe mzito kiasi gani..
Mpambanaji huona mwisho mwanzoni!Endelea kupambana tu..
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.