Endelea kupambana.

Mafanikio huwa hayamtupi mpambanaji!Endelea kupambana tu; ni kwa ajili yako na wanaokuzunguka; Mpambanaji haogopi mchakato hata uwe mzito kiasi gani.. Mpambanaji huona mwisho mwanzoni!Endelea kupambana tu..