Unamficha mke wako amekuwa bangi? Au amekuwa madawa ya kulevya?!! Biblia inasema, “Uishi kwa furaha pamoja na mke umpendaye, siku zote za maisha yako ya ubatili, ulizopewa… Read more “Usimfiche mke wako”
Month: March 2021
Umaskini ni sawa na ugonjwa…jitahidi tafuta pesa.
Imeandikwa, “Lakini hawatakuwako maskini kwenu; (kwa kuwa Bwana atakubarikia kweli katika nchi akupayo Bwana, Mungu wako, uimiliki, iwe urithi wako;). ( Torati 15:4). Ahadi ya Mungu kwa… Read more “Umaskini ni sawa na ugonjwa…jitahidi tafuta pesa.”
Unaweza endelea kutia bidii.
Usikubali mtu yeyote aamini kuwa hauwezi kufanikiwa bila yeye. Maana imeandikwa, “Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake Na moyoni mwake amemwacha Bwana”. (Yeremia… Read more “Unaweza endelea kutia bidii.”