Skip to content
cantonadigital

cantonadigital

Month: March 2021

Je umezungukwa na watu wa aina gani………

Nimekuwa na kawaida ya kuzungumza na watu hasa wenye ndoto za kufika au kuwa watu fulani kwa kuwatia moyo kuwa inawezekana kabisa na kuwaombea Na watu wengi… Read more “Je umezungukwa na watu wa aina gani………”

March 25, 2021 by CantonaDigital

Ni swala la mda tuu.

Kuna mambo lazima ujipe muda ni swala la muda tu Kuna kipindi katika maisha unaweza kukipitia ukaona kama vile Mungu uliyemtegemea maisha yako yote amekuacha Kuna msimu… Read more “Ni swala la mda tuu.”

March 25, 2021 by CantonaDigital

Jifunze kumwamini Mungu…

unapokuwa katikati ya maumivu makali yanayosababishwa na msiba ulionao kutokana mambo unayoyapitia jifunze kumwamini Mungu aliyekuvusha kwenye yale wakati mwingine huzuni ya moyo huongezeka unapotamani Kama ungepata… Read more “Jifunze kumwamini Mungu…”

March 25, 2021 by CantonaDigital

Kuna kuinuka tena..usikate tamaa

Kuna kuinuka tena usikate tamaaKuna kipindi katika maisha unaweza kukipitia na kikasababisha moyo wako kuinama kwa kiwango cha maisha yako kukosa radha na maana ya kuishi Katika… Read more “Kuna kuinuka tena..usikate tamaa”

March 25, 2021 by CantonaDigital

Unapokua katika nyakati ngumu..

Unapokuwa katikati ya nyakati ngumu za kimaisha Kuna sauti mbili utazisikia ndani yako moja itakwambia umefika mwisho Lakini Kuna nyingine japo kuna dhoruba kali na giza nene… Read more “Unapokua katika nyakati ngumu..”

March 25, 2021 by CantonaDigital

Kilicho na mwanzo kina mwisho pia….

kila chenye mwanzo huwa kina mwisho wake pia,hakuna kilichoandikiwa kudumu milele ni maneno ambayo nimeamka yakiwa ndani ya moyo wangu Moyoni mwangu nikasikia msukumo wa kusema na… Read more “Kilicho na mwanzo kina mwisho pia….”

March 25, 2021 by CantonaDigital

Tumezungukwa na watu wanaouwa ndoto……..

Katika maisha tumezungukwa na watu wauwa ndoto na hawa watu kazi yao ni kukukatisha tamaa katika yale mawazo sahihi uliyonayo ya kuifikia hatima yako au malengo yako… Read more “Tumezungukwa na watu wanaouwa ndoto……..”

March 25, 2021 by CantonaDigital

Lipo tumaini,utachipuka tena.

Ayubu 14:7 “Kwani yako MATUMAINI ya mti, ya kuwa UKIKATWA utachipuka TENA, Wala machipukizi yake HAYATAKOMA”Inawezekana kuna mambo fulani kwenye maisha yako yanaonekana kama HAKUNA MATUMAINI TENA.Kuna… Read more “Lipo tumaini,utachipuka tena.”

March 25, 2021 by CantonaDigital

Jiulize una rafiki wa kweli au nafiki.

katika haya maisha sikila mtu anapenda unachofanya, unavyovaa, unavyoongea, kibali ulichopata, nafasi uliyopata, Neema ulivyopewa lakini pia katika haya maisha lazima ujue sikila anaejiita rafiki yako ni… Read more “Jiulize una rafiki wa kweli au nafiki.”

March 25, 2021 by CantonaDigital

Njaa Ni hatari sana.

Ni njaa tu ndiyo inayompelekea simba kula swala na wanyama wengine ambao ni chakula kwake.Ni njaa tu inayompelekea mamba kula wanyama pamoja na watu.Ni njaa tu inayompelekea… Read more “Njaa Ni hatari sana.”

March 25, 2021 by CantonaDigital

Posts navigation

Older posts
Blog at WordPress.com.
cantonadigital
Blog at WordPress.com.
Privacy & Cookies: This site uses cookies. By continuing to use this website, you agree to their use.
To find out more, including how to control cookies, see here: Cookie Policy
  • Subscribe Subscribed
    • cantonadigital
    • Join 31 other subscribers
    • Already have a WordPress.com account? Log in now.
    • cantonadigital
    • Subscribe Subscribed
    • Sign up
    • Log in
    • Report this content
    • View site in Reader
    • Manage subscriptions
    • Collapse this bar
 

Loading Comments...