CantonaCast Television-Kenyan no1 Television Discover the Difference
1.ANAMKOA MUMEWE
2.Analala mapema kabla mumewe
3.Anachelewa kuamka kabla ya mumewe
4.Mbishi anahisi kuonewa muda wote
- Hapendi kukosolewa
6.Anadhani kumnyima mumewe unyumba ni kumkomoa
- Mmbea,muongo mchonganishi na mmbinafsi
- Anajari ajira za watu/kutumikia kazi za wengine ila kufanya biashara yake hataki.
- Hapendi kufatiliwa mambo yake ni mwenye ukali usio na sababu
- Ni mzito katika mambo ya ibada mwanamke asiye na hofu ya Mungu ni hatari sana kumshirikisha ndoto yako inayoitaji ulinzi wa Mungu.
- Huanika maisha yake kwenye mitandao ya kijamii
- Kinywa chake kimejaa matusi na lugha mbaya hata mbele ya watu wazima na mitandao ya kijamii
- Anayependa vitu vya rahisi kuliko kutolea jasho anapenda vilivyotengenezwa bila kujua gharama yake
- Mvivu (slay queen)
- Anaueahindwa kutawala sauti yake pindi anakuwa na hasira au anapoteta na mtu wake wa Siri
Kama unasifa hizi badilika acha kumlaumu Mungu kwa nuksi na mikosi inayo kuandama
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.