Bwana Yesu asifiwe wapendwa.Ninakualika tena katika ujumbe huu ambao Roho Mtakatifu aketie ndani yangu amekusudia niulete kwako kwa kusudi moja tu ISHI ANAVYOTAKA MUNGU,ILI MUNGU APENDEZWE NA… Read more “Ishi ili umpendeze Mungu.”
Month: October 2020
Always believe in your ability.
This a big reason to critically Rethink the current Kenyan System Arrangement based on The KE Constitution. Whom does it benefit fit most? And why do we… Read more “Always believe in your ability.”
Chagua kunyamaza….
MITHALI 11:12 Asiye na akili humdharau mwenziwe;Bali mtu aliye na ufahamu hunyamaza. MITHALI 17:28 Hata mpumbavu akinyamaza, huhesabiwa hekima;Akifumba midomo yake, huhesabiwa ufahamu. Changamoto kubwa tuliyonayo ni… Read more “Chagua kunyamaza….”
Mungu ni mwaminifu
Ninaamini Mungu Amekuwa Mwaminifu kwenye maisha yako. Hata kama bado unasita rohoni kukubali Uaminifu WA MUNGU na bado unajiuliza kama Ni Mwaminifu Kwako bado nina nafasi ya… Read more “Mungu ni mwaminifu”
Nguvu pamoja na hukumu ya shahidi.
Katika maisha shahidi huwa ni mtu wa muhimu sana katika kuongeza nguvu juu ya kitu kile ambacho watu wanakiamini.Haijalishi ni maisha ya imani, au katika mchakato wa… Read more “Nguvu pamoja na hukumu ya shahidi.”
Tulia miguuni pa Mungu.
Ninaamini Mungu Amekuwa Mwaminifu kwenye maisha yako. Hata kama bado unasita rohoni kukubali Uaminifu WA MUNGU na bado unajiuliza kama Ni Mwaminifu Kwako bado nina nafasi ya… Read more “Tulia miguuni pa Mungu.”
Chagua kuambatana na watu watakaokusaidia kutimiza ndoto zako.
Kwenye maisha Mungu ameumba mfumo wa kumpatia mtu watu wa kufanana naye… Na mfumo huu ulianza kwake mwenyewe pale alipokuwa ameumba kila kitu lakini akawa hana kiumbe… Read more “Chagua kuambatana na watu watakaokusaidia kutimiza ndoto zako.”
Moja ya faida za kumshukuru Mungu ni Kwamba Mungu atakuponya na hatati.
Hata Danieli,alipojua ya kuwa yale Maandiko yamekwisha kutiwa sahihi,akaingia nyumbani mwake na madirisha katika chumba chake yalikuwa yamefunguliwa kukabili Yerusalem,Akapiga magoti mara tatu kila siku akasali,AKASHUKURU mbele… Read more “Moja ya faida za kumshukuru Mungu ni Kwamba Mungu atakuponya na hatati.”
Mshirikishe Mungu katika mahusiano yako.
Mungu ametuumba sisi binadamu katika mfumo wa ubinafsi sana, na huu mfumo ndiyo unaosababisha hisia za upendo au chuki ndani yetu.. Hakuna mwanadamu anaeweza kupenda au kuchukia… Read more “Mshirikishe Mungu katika mahusiano yako.”
Manabii was uongo katika kizazi hiki
Kwa kweli huduma ya kinabii imevamiwa na wapunga pepo ambao kwa asilimia kubwa ndiyo wanaoharibu sura ya kanisa haswa kwa bara letu la Afrika. Wamefanya injili ya… Read more “Manabii was uongo katika kizazi hiki”