Katika saikorojia ya tabia, inaonyesha kwamba kile kitu ambacho utakifanya kwa mwendelezo ndani ya siku 21 kinaweza kubadilika na kuwa tabia yako. Mafanikio au kufeli kwa mtu… Read more “Siri ya mafanikio au kufeli kwako imefichwa katika tabia yako!!!”
Month: September 2020
Moto wa madhabahu usizimike.
MOTO WA MADHABAHU USIZIMIKE.🔥 “Tengeneza Madhabahu Binafsi ya Roho Mtakatifu ndani yako.” Mambo ya walawi 6: 13 Moto utatunzwa uwake juu ya madhabahu daima; usizimike. Mungu katika… Read more “Moto wa madhabahu usizimike.”
Umuhimu wa Maombi
Msingi wa maombi yetu tunaupata ndani ya Biblia.Biblia ni kitabu ambacho kinatafsiriwa kwa msaada wa uvuvio wa Roho Mtakatifu ndani ya mtu.Mahusiano ya mwamini na Roho Mtakatifu… Read more “Umuhimu wa Maombi”
Aliokokaje Mtume Paulo?
Nawasalimu ninyi nyote, katika jina la Yesu Kristo, Bwana na Mwokozi wa maisha yetu, Eeeeiiiiimen. Sisi wateule wa Mungu, watoto wake-Yoh.1: 12-13, Waef.1:4-11, Waef. 2: 8-10, Wakol.3:… Read more “Aliokokaje Mtume Paulo?”
Je huduma yako imekataliwa?
HUDUMA ALIYOKUPA MUNGU KABISA-KABISA, INAWEZA IKAKATALIWA NA WALIOOKOKA KABISA WENZAKO NA PIA WASIOOKOKA LAKINI USIFE MOYO, USIPOE KATU KAMWE FIRE NDANI YAKO YA KUZIDI KUCHAPA KAZI YA… Read more “Je huduma yako imekataliwa?”
Mwachie Mungu asafishe jina lako.
Ninakukaribisha leo tena katika ujumbe huu mfupi wa Neno la Mungu,Ujumbe ambao Roho Mtakatifu ameuachilia moyoni mwangu,Nami nimeona si mbaya kama nikikushirikisha. ✍🏿Limekuwa hitaji la Watu waliosingiziwa,… Read more “Mwachie Mungu asafishe jina lako.”