🎚️Warumi 7 Katika aya ya 15-25 Paulo anaeleza uhalisi wa hali yetu ya dhambi. Dhambi ambayo ni uasi wa sheria, ni tendo hasa la rohoni kama ilivyo… Read more “Ole wangu masikini”
Month: August 2020
Kesheni mukiomba.
MAOMBI YA USIKU WA MANANE NA ALFAJIRI. KUEPUKA MATESO KWA SABABU YA MAAMUZI YA ZAMANI . â–ŞKuna watu wako katika maisha magumu kiuchumi, kiroho , kiakili, kihisia… Read more “Kesheni mukiomba.”
Neno la leo
1 Timotheo 1: 18 – 20 “Mwanangu Timotheo, nakukabidhi agizo hilo liwe akiba, kwa ajili ya maneno ya unabii yaliyotangulia juu yako, ili katika hayo uvipige vile… Read more “Neno la leo”
Nayaweza mambo you’re katika yeye anitiaye nguvu.
HUU MSTARI TUMEUKOSEA SANA KILICHOMAANISHWA NA MTUME PAULO, TUMEUPACHIKIA MENGINE KWA MUDA MREFU, TUREKEBISHENI,HATUJACHELEWA Ukisoma huu mstari pekee yake bila kuzingatia mingine kabla na baada yake huu…… Read more “Nayaweza mambo you’re katika yeye anitiaye nguvu.”
Usipende njia za mkato
NJIA YA MKATO SIYO NJIA SAHIHI KATIKA MAISHA. Katika mahubiri ya ibada ya kila usiku hapa nyumbani nimesoma andiko kutoka katika kitabu cha Mithali 3:5-9. Sikuwa nimeandaa… Read more “Usipende njia za mkato”
Ulimi kiungo kidogo
MITHALI 12:14 MTU ATASHIBA MEMA KWA MATUNDA YA KINYWA CHAKE, NA ATARUDISHIWA MATENDO YA MIKONO YAKE…Ulimi una uwezo wa kuumba kitu na kikawa, maana Mungu aliumba ulimwengu… Read more “Ulimi kiungo kidogo”
Rejesha Njia za Zamani
Na watu wako watapajenga mahali palipokuwa ukiwa; utaiinua misingi ya vizazi vingi; nawe utaitwa, Mwenye kutengeneza mahali palipobomoka; na, Mwenye kurejeza njia za kukalia.Isaya 58: 12 Kazi… Read more “Rejesha Njia za Zamani”