Kauli 10 kwa mtu asiye na malengo.

NONDO ZA LEO
By Ev.pascal Yusufu Michael

Kauli 10 za mtu asiye kuwa na malengo na udhubutu

1.Sina mtaji
2.Nitaanza rasmi kesho
3.Sina connection
4.Mimi ni wa hivi hivi tu
5.Mifumo mibovu ya serikali ndiyo inanikwamisha
6.Mke /mme/ndugu ndiyo walioniangusha/kikwazo
7.Kupata ni majaliwa
8.Usilazimishe mambo
9.Kuna watu special siyo mimi
10.Sina bahati

Kaa mbali na mtu wa namna hii ni hatari katika kufikia ndoto zako


Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a comment