Skip to content
cantonadigital

cantonadigital

Month: August 2020

Mlango wa baraka ndani ya maumivu

MLANGO WA BARAKA NDANI YA MAUMIVU.Anaandika Mwanaharakati wa kujitegemea wa kutetea haki za waumini pamoja na usalama wa mali zao….. Martin Bashando Shaboka…. Maamuzi yenye maumivu ndani… Read more “Mlango wa baraka ndani ya maumivu”

August 31, 2020 by CantonaDigital

Safari ya kujua katika Imani.

ZAMANI ZILE TUKITOA SHUHUDA IBADANI, BAADHI NILIWADHANIA, HUENDA KILA JIONI, HUTEMBELEWA NA MUNGU LIVE KAMA ADAM PALE EDEN LAKINI KILICHOKUJA NIFUNGUA KICHWA HATA KUFAHAMU ALAA, ISHIII, KUMBE… Read more “Safari ya kujua katika Imani.”

August 31, 2020 by CantonaDigital

The artificial language

There are two artificial languages that were created by the British during their illegal occupation and administration of Kenya as cruel and irrational colonial masters. These two… Read more “The artificial language”

August 31, 2020 by CantonaDigital

Mungu hutembelea Kila mmoja.

ZAMANI ZILE TUKITOA SHUHUDA IBADANI, BAADHI NILIWADHANIA, HUENDA KILA JIONI, HUTEMBELEWA NA MUNGU LIVE KAMA ADAM PALE EDEN LAKINI KILICHOKUJA NIFUNGUA KICHWA HATA KUFAHAMU ALAA, ISHIII, KUMBE… Read more “Mungu hutembelea Kila mmoja.”

August 30, 2020 by CantonaDigital

Usijidanganye pasipo na wewe mtu hawezi kufaulu

Kwenye maisha usije kujidanganya kuwa bila wewe mtu fulani hawezi kufanikiwa hata kama umefanyika msaada kwake na kuwa mtu wa muhimu kiasi gani. Dhana ya aina hiyo… Read more “Usijidanganye pasipo na wewe mtu hawezi kufaulu”

August 28, 2020August 28, 2020 by CantonaDigital

Njia sahihi kuomba msamaha

NJIANI SAHIHI 7 ZA KUOMBA MSAMAHA DR LOVE 1.Beba kosa lako na ukubali kuwa umekosea.Watu wengi imekuwa mtihani kukubali kosa na kuomba msamaha kwa kuwaumiza wale waliowakosea,… Read more “Njia sahihi kuomba msamaha”

August 28, 2020 by CantonaDigital

Mapito ya Hezekiah

2 Wafalme 20:1-5 Siku hizo Hezekia akaugua,akawa katika hatari ya kufa,Isaya,nabii,mwana wa Amozi,akamjia,akamwambia,Tengene mambo ya nyumba yako;maana utakufa,wala hutapona.Basi Hezekia,akajigeuza,akaelekeza uso wake ukutani, akamwomba Bwana,akasema,Nakusihi,BWANA,ukumbuke sasa,jinsi nilivyokwenda… Read more “Mapito ya Hezekiah”

August 28, 2020 by CantonaDigital

Mungu habadiliki vs Mungu anabadilika

MUNGU HABADILIKI Vs. MUNGU ANABADILIKA Tulia kwanza-nisome bila ‘mapupa-pupa’ wala ‘mamiharaka-haraka’, kisha fundisha iliyo kweli ya kiroho,Neno, maandiko. Ukisoma Biblia, yako matukio ya kutosha kabisa yakionyesha: KWELI… Read more “Mungu habadiliki vs Mungu anabadilika”

August 28, 2020 by CantonaDigital

Mlango wa baraka ndani ya maumivu……

Maamuzi yenye maumivu ndani yake yanaweza kuwa ndiyo ndiyo mlango sahihi wa kufikia baraka zako.Mungu alipompiga sindano ya nusu kaputi Adam na kumfanyia upasuaji mkubwa wa ubavu… Read more “Mlango wa baraka ndani ya maumivu……”

August 28, 2020August 28, 2020 by CantonaDigital

Kauli 10 kwa mtu asiye na malengo.

NONDO ZA LEOBy Ev.pascal Yusufu Michael Kauli 10 za mtu asiye kuwa na malengo na udhubutu 1.Sina mtaji 2.Nitaanza rasmi kesho3.Sina connection4.Mimi ni wa hivi hivi tu5.Mifumo… Read more “Kauli 10 kwa mtu asiye na malengo.”

August 16, 2020 by CantonaDigital

Posts navigation

Older posts
Blog at WordPress.com.
cantonadigital
Blog at WordPress.com.
Privacy & Cookies: This site uses cookies. By continuing to use this website, you agree to their use.
To find out more, including how to control cookies, see here: Cookie Policy
  • Subscribe Subscribed
    • cantonadigital
    • Join 31 other subscribers
    • Already have a WordPress.com account? Log in now.
    • cantonadigital
    • Subscribe Subscribed
    • Sign up
    • Log in
    • Report this content
    • View site in Reader
    • Manage subscriptions
    • Collapse this bar
 

Loading Comments...