ALIPOZALIWA YESU, MALAIKA NA WINGI WA JESHI LA MBINGUNI, WALIFANYA SHANGWE LA AINA YAKE, WAKIMSIFU MUNGU HEBU FIKIRIA- NI MTOTO TU ILA MBINGUNI HAKUKALIKI, INAPIGWA SIFA YA… Read more “Kuzaliwa kwa Yesu.”
Month: June 2020
Truth about sex
..There is something both the aged and the infant do not know anything about. The church also has closed her eyes on this particular issue. Nobody wants… Read more “Truth about sex”
Blind Judgement
Mary went to school in the neighbouring village where she wasn’t known well.For three weeks, she came to school late and every time the teacher punished her.On… Read more “Blind Judgement”
Mwanaume bora ni mcha Mungu
Mpende mke wako mzuriUsimkaripie mke wako ukiwa unaongea nae. Inamuumiza sana.Mithali 15:1 Usimuongelee ubaya kwa mtu yeyote. Mke wako atakua kile ambacho unamuitaMwanzo 2:19 Usimpe mwanamke mwingine… Read more “Mwanaume bora ni mcha Mungu”
Usipuuze mambo.
Mgonjwa mmoja aliyelazwa hospitalini alitembelewa na ndugu zake. Alikuwa amewekwa kwenye mashine ya oksijeni na hivyo hakuweza kuongea.Wakati wakiwa pembezoni mwa kitanda, mgonjwa huyo alichukua kalamu na… Read more “Usipuuze mambo.”
Tuache ubinafsi na mashindano.
Neno linasema; “Msitende neno lolote kwa kushindana wala kwa majivuno; bali kwa unyenyekevu, kila mtu na amhesabu mwenziwe kuwa bora kuliko nafsi yake. Kila mtu asiangalie kufanikiwa… Read more “Tuache ubinafsi na mashindano.”
Tumtumainie Mungu kwa uwaminifu
Mimi na wewe tunatumikaje tunafanya watu kuwa watumwa wetu? Tuna ulumajuu yao? Yesu aliubiri na kuponya pia aliuhutubia makutano wasizimie akawapa mikate leo hii watumishi wanajilundikia mali… Read more “Tumtumainie Mungu kwa uwaminifu”
Mungu wetu ni Mkuu anajua matukio yote.
MUNGU wetu ni MUNGU anayetangaza mambo ya mwisho tangu mwanzo (Isaya 46:10). Yaani siku zote yeye anatazama unapoelekea na siyo hapo ulipo. Siku moja katika hali ya… Read more “Mungu wetu ni Mkuu anajua matukio yote.”