Mara ya kwanza kumuona ilikuwa ni katikati ya miaka ya tisini nikiwa mtoto mdogo wa shule ya msingi huko mkoa wa Bonde la ufa wakati huo, wilaya… Read more “Nilipenda crusade ya Mchungaji Pius Muiru.”
Month: June 2020
Ufalme was Mungu umekaribia.
Bwana Yesu alisema mengi kuhusu ufalme wa Mungu kabla hajaenda msalabani, ni vema tuwe makini kuzingatia muktadha. Alianza mahubiri yake kwa kusema 15“Wakati umetimia, na UFALME WA… Read more “Ufalme was Mungu umekaribia.”
Mambo 15 ya msingi Sana kuyajua ili uishi na wenzio vizuri.
Epuka hasira za hovyo na kila mtu, kuwa msikivu kabla ya kukimbilia maamuzi (elewa kuwa ukiwa na hasira huwezi kupata suluhu ya jambo) Usiwatendee wengine ubaya ukadhani… Read more “Mambo 15 ya msingi Sana kuyajua ili uishi na wenzio vizuri.”
Usikate tamaa.
Mungu akiniambia sema na watu wangu watu waliofika mahali wakaona kwamba sasa nimefika mwisho Sijajua ninani lakini Mungu amenisemesha ya kwamba wako watu ambao kibinadamu wamechoka na… Read more “Usikate tamaa.”
Unayopitia yatakoma
Ninajua Mungu ameleta ujumbe huu mbele yako kwa makusudi na ni ujumbe wa wakati kwako Nikiwa katika maombi Siku ya leo nikasikia sauti ikiniambia wambie woote ambao… Read more “Unayopitia yatakoma”
Jifunze kumamini Mungu.
Katika maisha haya yenye vita,changamoto na dhiki za kila aina nimejifunza kumwamini Mungu katika hali yoyote ile ninayoipitia Unaweza kuwa umepoteza kazi,umepoteza marafiki,umepoteza mchumba,umepoteza nafasi mbalimbali ambazo… Read more “Jifunze kumamini Mungu.”
Utavuka ng’ambo ya pili.
Shallom mpendwa wangu niko hapa kukutia moyo kuwa kuvuka ni lazima haijalishi umekwama kwenye eneo lipi amini kuwa kuvuka ni lazima Kuna wakati katika maisha,yoote uliyoyategemea hayaonekani… Read more “Utavuka ng’ambo ya pili.”
Kuna ushindi katika mazingira magumu.
Hakuna mtu ambae hapitii nyakati ngumu, awe masikini awe tajiri kila mtu lazima kuna vipindi vigumu atavipitia katika maisha yake Kinachotutofautisha ni mitazamo yetu (Attitude) juu ya… Read more “Kuna ushindi katika mazingira magumu.”
Utainuka tena,utafanya tena.
Najua tumeingia katika nusu nyingine ya mwaka huu wa 2020 baada ya kumaliza nusu ya kwanza, Nikiwa katika maombi Mungu amenipa neno hili ambalo lilipelekwa kwa Elizabeth… Read more “Utainuka tena,utafanya tena.”
Umaskini unasababishwa na msongo was mawazo.
Umasikini unasababisha depression (Msongo wa mawazo) na Low self-esteem (kujidogofisha kuwa mnyonge, kujiona hufai) hiyo ni changamoto kubwa na itakupelekea kuchukia watu bila sababu, kugombana na kila… Read more “Umaskini unasababishwa na msongo was mawazo.”