Mimi na wewe tunatumikaje tunafanya watu kuwa watumwa wetu? Tuna ulumajuu yao? Yesu aliubiri na kuponya pia aliuhutubia makutano wasizimie akawapa mikate leo hii watumishi wanajilundikia mali hata hawakumbuki walio chini yao mutu anamagari zaidi yamoja mtumishi mwenzake anatembea kwa miguu ajari mtu amelundika fedha bank watumishi wenzake wananjaa pia wanamadeni hawezi kutoa hata kidogo utawaona kwenye vyombo eti wanasaidia jamii ili watu wawapende wasijue Yesu alisema injili ianzie Jerusalem sio samalia pia anasema mtumishi mzuri anaanziakutunza nyumba yake (watenda kazi naye) ukiwambia wanasema eti tuombe Mungu aweki pesa Mbinguni Mungu akuamini akakukabizi mfuko duniani wewe unautumia vibaya unabadilisha magari mengine yameoza unajenga majumba ya kifahari mtumishi mwenzako hana hatakodi ya nyumba kisha untamba km wacheza mieleka Mimi nabiimkuu mimilabiii Mimi mkuu wa mitume inasiikiTisha saana.
Msingi ukiharibika, nyumba itasimamaje? Angalia maisha ya Majenerali wenu! Wanajirundikia mali, wanashindana kununua ndege na maghorofa, wanatoza maskini na wajane kanisani pamoja na matajiri pesa nyingi kujengea mahekalu yao ya bil 12 Jijini Nairobi huku wahungaji wao walio mikoani wakiishi maisha magumu sana, wakilalia hadi ngozi, ukiuliza unajibiwa mchungaji usitegemee kanisa likulishe mtegemee Mungu, huku yeye akikuagiza ukamue watu pesa na umpe aweke kwenye akaunti za wanae na mkewe.. Vibaraka wao wanatumika kuficha pesa hizo hadi kuwatongozea mabinti majenerali hao! Unategemea nini? Hao vibaraka wakiachiwa madaraka au wakianzisha makanisa watafuata mwongozo upi? Kujirundikia mali na kusahau maskini!Hao ndo wapo mtandaoni wamelipwa kuwahifadhi maaskofu wao waovu, wako tayari wamkane Yesu kuliko kumkana jenerali wao! Unategemea kanisa lisimame kama moja? Au unakuta jenerali wako kahaba, nawe unaishia kuwa kahaba. Maskini utawapaje misaada wakati unapigana ukunsanye hela ukahonge?
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.