Mimi Generali Cantona Joseph,nimepokea habari za kufariki dunia kwa, Mchungaji Mwalimu Peter Mitimingi kwa masikitiko makubwa sana.Nilifahamiana naye, mwaka 2006 akisoma nchini Kenya mahala nilikua nafanya kazi… Read more “Jenerali Mwalimu Mchungaji Peter Mitimingi Ameaga dunia usiku kuamkia leo Mei 4 2020”