Skip to content
cantonadigital

cantonadigital

Month: May 2020

Mungu akukutanishe na mtu aliyebeba majibu yako.

Nakuombea Mungu akukutanishe na mtu aliyebeba majibu yako ambaye Wakati wengine wote wamekukata yeye atakupokea, wakati wengine wote wanapokuona huna maana yeye ataiona maana ya uwepo wako… Read more “Mungu akukutanishe na mtu aliyebeba majibu yako.”

May 10, 2020 by CantonaDigital

Mungu akuinulie yonathani wako 1samweli 18:1:4

Ikawa Daudi alipokwisha kusema na Sauli, roho ya Yonathani, ikaambatana na roho ya Daudi, Yonathani akampenda kama roho yake mwenyewe. Sauli akamtwaa siku ile, wala hakumwacha arudi… Read more “Mungu akuinulie yonathani wako 1samweli 18:1:4”

May 10, 2020 by CantonaDigital

Mungu ni mwaminifu atafanya kile alichokiahidi juu yako

Mungu akaniambia nikwambie usiogope wala usikate tamaa Mungu ni mwaminifu atafanya kile alichokiahidi juu yako Hata kama mazingira kwa jinsi ya kibinadamu hayaoneshi kwamba hicho unachokitarajia na… Read more “Mungu ni mwaminifu atafanya kile alichokiahidi juu yako”

May 10, 2020 by CantonaDigital

wengi wanaumia kimiakimia

Kuna wakati unaweza kupita mahali pagumu na watu wako wa karibu wasijue maumivu uliyonayo Kwasababu jaribu au msiba usikie tu kwa mwingine usiwe kwako maumivu yake ni… Read more “wengi wanaumia kimiakimia”

May 10, 2020 by CantonaDigital

Hakuna hali au mazingira yatadumu Milele

Katika maisha jifunze kuamini kuwa hakuna hali au mazingira yatadumu Milele kila jambo huwa ni la muda tu Hata hayo unayoyapitia yanayokuletea maumivu ni ya muda tu… Read more “Hakuna hali au mazingira yatadumu Milele”

May 10, 2020 by CantonaDigital

Giza linatanda tumaini,inapotea.

Kuna wakati akili inachoka mwanga unapotea giza linatanda tumaini linaisha kabisa hofu inaingia kwasababu matatizo yaliyokuzunguka ambayo huoni kama unatoka ○Katika maombi Mungu amenisemesha jambo hili nikutie… Read more “Giza linatanda tumaini,inapotea.”

May 8, 2020 by CantonaDigital

Ondoa mawazo ya kufeli jiamini.

Unapodhani au kuamini kuwa huwezi kufanya jambo fulani basi mfumo wako wa mwili wako kibaiolojia huanza kudhihirisha kile unachodhani hukiwezi Kamwe huwezi kufanya kile unachofikiri huwezi kufanya… Read more “Ondoa mawazo ya kufeli jiamini.”

May 5, 2020 by CantonaDigital

Hilo pia litapita

Katika maisha yapo mapito na magumu mbalimbali ambayo yanavunja moyo na kukatisha tamaaa ⏺Na walio wengi wanapoingia kuomba wanamwambia Mungu ukubwa wa matatizo yao na siyo kuyaambia… Read more “Hilo pia litapita”

May 5, 2020 by CantonaDigital

Haujazaliwa na Nuksi yoyote.

Kuna watu wanafikili kuwa wao wamezaliwa na bahati mbaya au mikosi na nuksi kwasababu ⭕Nimekutana na watu wengi waliokata tamaa na maisha kwasababu hakuna wanachofanya au kuanzisha… Read more “Haujazaliwa na Nuksi yoyote.”

May 5, 2020 by CantonaDigital

Mungu hajakusahau..

✒Kuna kipindi unaweza kukipitia kwenye maisha ukafikili kana kwamba Mungu amekuacha kwasababu ya hali na mazingira ya hicho kipindi Zaburi 22:1:2 Mungu wangu, Mungu wangu,Mbona umeniacha?Mbona U… Read more “Mungu hajakusahau..”

May 5, 2020 by CantonaDigital

Posts navigation

Older posts
Newer posts
Blog at WordPress.com.
cantonadigital
Blog at WordPress.com.
Privacy & Cookies: This site uses cookies. By continuing to use this website, you agree to their use.
To find out more, including how to control cookies, see here: Cookie Policy
  • Subscribe Subscribed
    • cantonadigital
    • Join 31 other subscribers
    • Already have a WordPress.com account? Log in now.
    • cantonadigital
    • Subscribe Subscribed
    • Sign up
    • Log in
    • Report this content
    • View site in Reader
    • Manage subscriptions
    • Collapse this bar
 

Loading Comments...