Katika maisha ya kila siku tunazungukwa na watu wasiotamani kuona ukiongezeka katika eneo lolote kimaisha Iwe ni kiuchumi, kielimu,kibiashara,kihuduma na nyanja zote za kimaisha. Lazima ufahamu kuwa… Read more “Unazungukwa na watu wasiotaka uongezeke.”
Month: May 2020
Usiogope
Katika maisha watu waliofanikiwa walijifunza kutokuogopa jambo lolote linalosimama mbele yao kuwazuia kufika kwenye ndoto zao Na watu wengi tumeshindwa kufika kwenye ndoto zetu kwasababu ya hofu… Read more “Usiogope”
Maadui wako hawajui una Mungu mtetezi.
Kati ya vitu ambavyo maadui zako hawajui nikwamba unae Mungu asiyelala, unaye Mungu anaekuwazia mema Na pia hawajui ukuu na uaminifu wa Mungu uliyenaye,ndio maana ni rahisi… Read more “Maadui wako hawajui una Mungu mtetezi.”
usikate tamaa.
Kuna mambo wamejaribu kufanya lakini hayaonekani kuzaa matunda,na kuna hali wanazipitia kiuchumi,kifamilia, kazini, na hawaamini tena Kama wanaweza kuvuka Najua umezungukwa na watu wengi wanaokucheka na kukukatisha… Read more “usikate tamaa.”
Heri ufe ukijaribu.
Ni bora ufe ukijaribu kuliko kukata tamaa katika ndoto zako,mara ngapi umekuwa ukikata tamaa katika maisha yako? Ni vitu vingapi umevikatia tamaa kuvifanya? Kwasababu tu ya magumu… Read more “Heri ufe ukijaribu.”
Siri ya mafanikio ni kuamini kuwa unaweza
Unapodhani au kuamini kuwa huwezi kufanya jambo fulani basi mfumo wako wa mwili wako kibaiolojia huanza kudhihirisha kile unachodhani hukiwezi Kamwe huwezi kufanya kile unachofikiri huwezi kufanya… Read more “Siri ya mafanikio ni kuamini kuwa unaweza”
Uwezo wa Mungu ni mkuu.
Daudi hakuhitaji kujua uwezo wa Goliath ili kumkabili ila alitiwa nguvu baada ya kujua uwezo wa Mungu aliyenaye Kwanini kila siku unashindwa?Kwanini kila siku wewe ni mtu… Read more “Uwezo wa Mungu ni mkuu.”
Mambo hayaendi,
Najua unapita mahali pagumu kiuchumi,kwenye mahusiano, kwenye ndoa ,umefika mahali mambo hayaendi, maisha hayana maana teena Mahusiano hayana maana,ndoa haina maana, kazi haina maana, umejikuta muda woote… Read more “Mambo hayaendi,”
Ee Israeli, asema hivi, Usiogope
Isaya 43:1:2Lakini sasa, BWANA aliyekuhuluku, Ee Yakobo, yeye aliyekuumba, Ee Israeli, asema hivi, Usiogope, maana nimekukomboa; nimekuita kwa jina lako, wewe u wangu.Upitapo katika maji mengi nitakuwa… Read more “Ee Israeli, asema hivi, Usiogope”
Majira ya Mungu ndio bora.
Majira ya Mungu yakifika hakuna kinachoweza kumzuia maana yeye hafungwi na muda Ninakutia moyo usiangalie muda uliokaa kwenye hilo jaribu ,wala usitazame ukubwa DA hilo jaribu Majira… Read more “Majira ya Mungu ndio bora.”