Skip to content
cantonadigital

cantonadigital

Month: May 2020

Una marafiki wa aina ipi.

➡Anayekukimbia wakati wa kupanda,atakuja kukutia moyo wakati wa mavuno.➡Anayekudharau wakati wa vita,ndiye atakayekushangilia wakati wa kushinda.➡Anayekimbia tatizo lako leo,kesho likimpata lake atakuja kwako umpe experience! MUNGU YUPO,ANAYEGEUZA… Read more “Una marafiki wa aina ipi.”

May 14, 2020 by CantonaDigital

Kiburi

Ni silaha kubwa sana ambayo adui anatumia kuangusha hata majitu ya Imani. Mbaya zaidi dhambi ya kiburi au anguko la kiburi linapokunyemelea, kila Mtu ataona isipokuwa wewe… Read more “Kiburi”

May 14, 2020 by CantonaDigital

Nani atakaye kaa katika hema la Bwana.

Zaburi:15.1Bwana, ni nani atakayekaa Katika hema yako? Ni nani atakayefanya maskani yake Katika kilima chako kitakatifu?Zaburi:15.2Ni mtu aendaye kwa ukamilifu, Na kutenda haki. Asemaye kweli kwa moyo… Read more “Nani atakaye kaa katika hema la Bwana.”

May 14, 2020 by CantonaDigital

Usimwige mtu mwingine.Una kitu cha utofauti.

Ukitaka Mungu akutumie kwa viwango tembea katika uhalisia wako jinsi ulivyo. Usiige maisha ya wengine na kuyafanya kuwa yako. Naweza kuyapenda mafundisho ya Mwakasege lakini siwezi kuwa… Read more “Usimwige mtu mwingine.Una kitu cha utofauti.”

May 14, 2020 by CantonaDigital

Ukiwa umekosa kubali kukosolewa

Biblia inaelezea kwamba, Kuna wakati Mtume Paulo alimkemea Mtume Petro kwa sababu ya unafiki wa kuwatenga watu wa mataifa pale alipowaona wayahudi (Wagalatia 2:11-21). Petro alikuwa ni… Read more “Ukiwa umekosa kubali kukosolewa”

May 14, 2020May 14, 2020 by CantonaDigital

Watendeeni watu vile mnataka mtendewe.

“Basi yo yote myatakayo mtendewe na watu, nanyi watendeeni vivyo hivyo; maana hiyo ndiyo torati na manabii.”(Mathayo 7:12) Katika Morning devotion time nilipokuwa nasoma Biblia nikarejeshwa kwenye… Read more “Watendeeni watu vile mnataka mtendewe.”

May 14, 2020 by CantonaDigital

Mateso yako ni mengi,Mungu anayakomesha.

Sijui umekuwa na mateso kwenye eneo gani, inawezekana umekuwa na mateso kwenye uchumi,ndoa,kazini au mateso ya kiafya. Bwana ameniambia nikwambie anayakomesha hayo mateso Nahumu 1:9Mnawaza nini juu… Read more “Mateso yako ni mengi,Mungu anayakomesha.”

May 10, 2020 by CantonaDigital

Bwana akutoe katika nia ya watesi wako.

Bwana akutoe katika nia ya watesi wako Wale wanaokuwazia mabaya, wanaosubiri kuanguka kwako,wanaosubiri aibu yako nimekuombea nia zao na kila mipango mibaya juu yako haitasimama Zaburi 27:12… Read more “Bwana akutoe katika nia ya watesi wako.”

May 10, 2020 by CantonaDigital

Usipoteze ladha katika maisha.

Siku ya leo nasikia kuwatia moyo na kuwaombea watu ambao wanasikia kukata tamaa, watu ambao wamefika mahali maisha yao yamepoteza radha Watu ambao ndoa,kazi, na kila kitu… Read more “Usipoteze ladha katika maisha.”

May 10, 2020 by CantonaDigital

Usikate tamaa

Wambie wasikate tamaa nipo pamoja nao katika mazingira yote wanayoyapitia sijawaacha Na Bwana akaniambia wambie katikati ya upinzani na vita nitawalinda hawatadhurika hata watakapojikwaa hawatadhurika maana nipo… Read more “Usikate tamaa”

May 10, 2020 by CantonaDigital

Posts navigation

Older posts
Newer posts
Blog at WordPress.com.
cantonadigital
Blog at WordPress.com.
Privacy & Cookies: This site uses cookies. By continuing to use this website, you agree to their use.
To find out more, including how to control cookies, see here: Cookie Policy
  • Subscribe Subscribed
    • cantonadigital
    • Join 31 other subscribers
    • Already have a WordPress.com account? Log in now.
    • cantonadigital
    • Subscribe Subscribed
    • Sign up
    • Log in
    • Report this content
    • View site in Reader
    • Manage subscriptions
    • Collapse this bar
 

Loading Comments...