Ninakumbuka maisha yangu ya safari ya utafutaji nilipitia changamoto nyingi kipindi hicho nilikuwa natafuta pakulala mjini,baada ya kutoka vijijini ni safari ndefu,Mungu alinipa ndugu wengi chuoni nilipokua… Read more “USIDHARAU MAMBO MADOGO”
Month: May 2020
Usikate tamaa
Naongea na mtu ambae kibiashara umeanguka,kiuchumi umeanguka, kimasomo umeanguka, ki mahusiano umeanguka, na kihuduma umeanguka Na inawezekana kabisa umezungukwa na watu wanaokucheka na kukudharau maana wanafikili mwisho… Read more “Usikate tamaa”
Katikati ya vita na upinzani Bwana atatulinda
Na Bwana akaniambia wambie katikati ya upinzani na vita nitawalinda hawatadhurika hata watakapojikwaa hawatadhurika maana nipo pamoja nao Ndipo nikasikia ndani yangu msukumo wa kusema na wewe… Read more “Katikati ya vita na upinzani Bwana atatulinda”
Tunazungukwa na watu wasiotamani kuona ukiongezeka
Katika maisha ya kila siku tunazungukwa na watu wasiotamani kuona ukiongezeka katika eneo lolote kimaisha Iwe ni kiuchumi, kielimu,kibiashara,kihuduma na nyanja zote za kimaisha. Lazima ufahamu kuwa… Read more “Tunazungukwa na watu wasiotamani kuona ukiongezeka”
Usiogope
Katika maisha watu waliofanikiwa walijifunza kutokuogopa jambo lolote linalosimama mbele yao kuwazuia kufika kwenye ndoto zao Na watu wengi tumeshindwa kufika kwenye ndoto zetu kwasababu ya hofu… Read more “Usiogope”
Maaadui wako wameshindwa.
Zaburi 20:8 Wao wameinama na kuanguka,Bali sisi tumeinuka na kusimama. Waliosimama kinyume na biashara yako,kinyume na kazi yako,kinyume na masomo yako,kinyume na huduma yako ni maombi yangu… Read more “Maaadui wako wameshindwa.”
Una Mungu asiye lala
Kati ya vitu ambavyo maadui zako hawajui nikwamba unae Mungu asiyelala, unaye Mungu anaekuwazia mema Na pia hawajui ukuu na uaminifu wa Mungu uliyenaye,ndio maana ni rahisi… Read more “Una Mungu asiye lala”
Je unalipitia jambo lipi?
kuna mambo umejaribu kufanya lakini hayaonekani kuzaa matunda,na kuna hali wanazipitia kiuchumi,kifamilia, kazini, na hawaamini tena Kama wanaweza kuvuka Najua umezungukwa na watu wengi wanaokucheka na kukukatisha… Read more “Je unalipitia jambo lipi?”
Upo katika kipindi kipi maishani?
Kuna kipindi unaweza kukipitia kwenye maisha haya,kikawa ni kipindi cha machozi na kilio na hasara katika kipindi maisha yanaweza kukosa maana kabisa Nikiwa katika kuomba Bwana akaniambia… Read more “Upo katika kipindi kipi maishani?”
Wewe una uwezo mkubwa.
Kufeli kwenye maisha haina maana kwamba huwezi, au kufeli mtihani haimanishi kwamba umefeli maisha jifunze kutokukata tamaa. Watu wengi wameshindwa kwenye maisha sio kwasababu hawawezi au sio… Read more “Wewe una uwezo mkubwa.”