Biblia. Kutoka 15:1-13[1]Ndipo Musa na wana wa Israeli wakamwimbia BWANA wimbo huu wakanena, na kusema,Nitamwimbia BWANA, kwa maana ametukuka sana;Farasi na mpanda farasi amewatupa baharini.[2]BWANA ni nguvu… Read more “Baada ya wana wa Israel kuvuka waliimba wimbo wa ushindi.”
Month: May 2020
Ebrania 12:24
na Yesu mjumbe wa agano jipya, na damu ya kunyunyizwa, inenayo mema kuliko ile ya Habili (speaks better things than that of Abel) Damu za hawa wawili… Read more “Ebrania 12:24”
Umewai vunja maagano.
Umewahi kuwaza gharama (price) ya kukombolewa/kuvunja maagano (hasa ya vizazi) ilivyo ngumu kuilipa mwenyewe? Fikiria yafuatayo. Je! Unajua walioyaingia maagano hayo na miungu waligharamia kiasi gani? Mali,… Read more “Umewai vunja maagano.”
Tumlilie Mungu mwenye uwezo.
Tunapokutana na tatizo lililo zaidi ya uwezo wetu, ni vyema tumlilie na kumwomba mwenye uwezo wa kulikabili. MUNGU IPONYE NCHI YETU NA MAJANGA Tangu nimepata ufahamu nimegundua… Read more “Tumlilie Mungu mwenye uwezo.”
Huwezi mzuia njiwa asipite juu ya kichwa chako.
Mungu anapotaka kuwanyamazisha milele, huwaacha kwanza wapige kelele, na kwa wingi wa maneno yao ya kuvunja moyo HUNASWA KWA HAYOHAYO. USIOGOPE IMANI YAKO INAPOPIMWA, UTATOKA KAMA DHAHABU.… Read more “Huwezi mzuia njiwa asipite juu ya kichwa chako.”
Tusimame kwa maombi ili tusipigwe mieleka.
Musa wetu anaponyoosha mikono ya imani, kazi yetu iwe kumtegemeza kwa maombi maana ni mwanadamu pia anachoka. LAKINI TUKIZUBAA NA KUANZA USHABIKI AU KUSHANGILIA BADALA YA KUOMBA… Read more “Tusimame kwa maombi ili tusipigwe mieleka.”
Lolotehufanyalo utapata upinzani,na pongezi.
Kwenye kila unachokifanya kuna aina ya watu wawili hutakosa.. Hutakosa rafiki wala hutakosa adui, ni kitu cha kawaida sana wala sio kwamba unapatia sana au unakosea sana,… Read more “Lolotehufanyalo utapata upinzani,na pongezi.”
USALAMA WA NDOTO.
Baada ya utangulizi wa sehemu ya kwanza leo napenda niingie kwenye maandiko machache yanasamaje kuhusu ndoto? Ni kweli kwamba ndoto imekuwa ni njia mojawapo ambayo watu wakuu… Read more “USALAMA WA NDOTO.”
USALAMA WA NDOTO
Namshukuru sana Mungu kwa ajili ya watumishi wa Mungu wengi waliopata neema ya kufundisha somo la ndoto, kwa maoni yangu naona ni jambo jema sana kuwafundisha watu… Read more “USALAMA WA NDOTO”
USALAMA WA NDOTO.
Kama tulivyoona sehemu ya kwanza ya pili jinsi ndoto zinaweza kuwa baraka au balaa LEO NITAELEZA KWA NINI USALAMA WA NDOTO NI MUHIMU. Ndoto zozote za maana… Read more “USALAMA WA NDOTO.”