Tusimame kwa maombi ili tusipigwe mieleka.

Musa wetu anaponyoosha mikono ya imani, kazi yetu iwe kumtegemeza kwa maombi maana ni mwanadamu pia anachoka. LAKINI TUKIZUBAA NA KUANZA USHABIKI AU KUSHANGILIA BADALA YA KUOMBA TUNAWEZA KUPIGWA NA AMALEKI WA SASA.

Kwa wasoma Biblia hebu soma mistari hii uelewe namaanisha nini.

Kutoka 17:11-12,14
[11]
Ikawa, Musa alipouinua mkono wake, Israeli walishinda; na alipoushusha mkono wake, Amaleki walishinda.
[12]
Lakini mikono ya Musa ilikuwa mizito; basi wakatwaa jiwe, wakaliweka chini yake akalikalia. Haruni na Huri wakaitegemeza mikono yake, mmoja upande huu na mmoja upande huu; mikono yake ikathibitika hata jua lilipokuchwa.
[14]
BWANA akamwambia Musa, Andika habari hii katika kitabu iwe ukumbusho, kisha ihubiri masikioni mwa Yoshua; ya kuwa nitaufuta ukumbusho wa Amaleki kabisa, usiwe tena chini ya mbingu.


Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a comment