Tunapokutana na tatizo lililo zaidi ya uwezo wetu, ni vyema tumlilie na kumwomba mwenye uwezo wa kulikabili. MUNGU IPONYE NCHI YETU NA MAJANGA
Tangu nimepata ufahamu nimegundua jambo gumu zaidi kufanya ni hili “KUMTENDEA MWINGINE YALE UNAYOTAMANI KUTENDEWA”
Kwa sababu hiyo kumbuka kuheshimu na kuthamini sana chochote chema unachotendewa, MAANA KUNA MTU ILIMCHUKUA JUHUDI NA MAUMIVU KUKUTENDEA.
Furaha yako ni jasho, maumivu, juhudi, na gharama ya MTU mwingine aliyekubali kukupa wewe. HESHIMU
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.