Zaburi 20:8 Wao wameinama na kuanguka,Bali sisi tumeinuka na kusimama.
Waliosimama kinyume na biashara yako,kinyume na kazi yako,kinyume na masomo yako,kinyume na huduma yako ni maombi yangu
Kwa Bwana ukawaone wakiinama na kuanguka, Na Mungu wa mbinguni akakuinue na kukusimamisha panapo nafasi mbele yao.
Ninakuombea ukainuliwe kazini kwako,ukainuliwe kwenye biashara yako,ukainuliwe katika kila eneo la maisha yako
Ninasikia kukwambia kuwa hapatakuwa na mtu atakae weza kusimama mbele yako tena na hata akijalibu ataanguka Katika jina la Yesu
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.