Je unalipitia jambo lipi?

kuna mambo umejaribu kufanya lakini hayaonekani kuzaa matunda,na kuna hali wanazipitia kiuchumi,kifamilia, kazini, na hawaamini tena Kama wanaweza kuvuka

Najua umezungukwa na watu wengi wanaokucheka na kukukatisha Tamaa kwasababu ya mambo unayoyapitia kwani hayaoneshi tumaini

Luka 18:27
Akasema, yasiyowezekana kwa wanadamu yawezekana kwa Mungu.

Mungu ameniinua ili kukutia moyo yasiyowezekana kwa wanadamu kwa Mungu yanawezekana usikate Tamaa,usife moyo songa mbele

Nimekuombea katika mwaka huu uliokubalika Mungu akafanye yale yoote yaliyoonekana hayawezekani kwenye maisha yako.

Na badala ya huzuni akakupe furaha, Badala ya machozi akakupe kicheko,badala ya kuzalauliwa akakuheshimishe.

Kama unaamini comment “Bwana nifanyie wepesi katika mambo yoote yanaoonekana magumu kwangu” na itakuwa katika jina la Yesu


Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a comment