Watendeeni watu vile mnataka mtendewe.

“Basi yo yote myatakayo mtendewe na watu, nanyi watendeeni vivyo hivyo; maana hiyo ndiyo torati na manabii.”
(Mathayo 7:12)

Katika Morning devotion time nilipokuwa nasoma Biblia nikarejeshwa kwenye Sura ya 7 ya Injili ya Mathayo na huu mstari kipekee ukanigusa. Ndipo Roho wa Mungu akaanza kunitafsiria kwa namna ya kipekee sana.

Unapaswa kuwatendea wengine namna ile ile ambayo ungependa wewe utendewe na wao. Akaniambia wazi hata KWENYE KUTOA MSAADA, MPE MTU MSAADA AMBAO WEWE MWENYEWE UNGETAMANI KUPEWA KAMA UNGEKUWA KWENYE SHIDA HIYO HIYO. Usifanye Ilimradi tu kwa kuwa ni kwa mtu mwingine na sio kwako.


Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a comment