Mungu akaniambia nikwambie usiogope wala usikate tamaa Mungu ni mwaminifu atafanya kile alichokiahidi juu yako
Hata kama mazingira kwa jinsi ya kibinadamu hayaoneshi kwamba hicho unachokitarajia na kukisubiri kutoka kwa Bwana kitakuwa,
Niko hapa kukwambia Mungu hafungwi na mazingira endelea tu kumwamini atafanya nami ninakuombea
Kama unaamini comment ” Bwana Sitaogopa wala sitachoka kusubiri kwa majira yako najua utatenda.
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.