Mateso yako ni mengi,Mungu anayakomesha.

Sijui umekuwa na mateso kwenye eneo gani, inawezekana umekuwa na mateso kwenye uchumi,ndoa,kazini au mateso ya kiafya. Bwana ameniambia nikwambie anayakomesha hayo mateso

Nahumu 1:9
Mnawaza nini juu ya BWANA? Yeye atakomesha kabisa; mateso hayatainuka mara ya pili.

Umeteseka mwaka Jana, mwaka huu ukamuone Bwana Maana ni mwaka uliokubaliwa.


Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a comment