Mambo hayaendi,

Najua unapita mahali pagumu kiuchumi,kwenye mahusiano, kwenye ndoa ,umefika mahali mambo hayaendi, maisha hayana maana teena

Mahusiano hayana maana,ndoa haina maana, kazi haina maana, umejikuta muda woote ndani yako unasikia uchungu na kilio

Bwana amenituma kukwambia now it is a time, hutalia tena, hutadharauliwa tena, futa machozi mwamini Mungu songa mbele

Zaburi 30:11 Uligeuza matanga yangu kuwa machezo;Ulinivua gunia, ukanivika furaha.

Nimekuombea siku ya leo Bwana akageuze matanga yako kuwa machezo, nimekuombea Bwana akakuvue roho za madeni na kukataliwa

Najua naongea na mtu, Bwana ameona kilio chako nimekuombea,Badala ya kilio ukavikwe furaha, Badala ya kukataliwa ukavikwe kibali katika jina la Yesu

Kama unaamini comment na itakuwa katika jina la Yesu ” Bwana geuza matanga yangu kuwa machezo,ukanivue gunia univike furaha”


Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a comment