Katika maisha jifunze kuamini kuwa hakuna hali au mazingira yatadumu Milele kila jambo huwa ni la muda tu
Hata hayo unayoyapitia yanayokuletea maumivu ni ya muda tu yatapita ni swala la muda tu
Jifunze kujipa muda kuliko kukata tamaa, watu wengi wameshindwa kufika walipotamani kwasababu ya kutokujipa muda
Ninakuombea leo Mungu akupe uvumilivu na imani katika jina la Yesu never give up songa mbele it is just a matter of time
Watie moyo na wengine fanyika baraka kwao kwa kushare mafundisho haya na Mungu atakubariki sana
Na ikiwa unaamini sema sitaruhusu moyo wangu ukate tamaa maana najua it is just a matter of time namimi nitafika”
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.