Bwana akutoe katika nia ya watesi wako.

Bwana akutoe katika nia ya watesi wako

Wale wanaokuwazia mabaya, wanaosubiri kuanguka kwako,wanaosubiri aibu yako nimekuombea nia zao na kila mipango mibaya juu yako haitasimama

Zaburi 27:12 Usinitie katika nia ya watesi wangu;Maana mashahidi wa uongo wameniondokea,Nao watoao jeuri kama pumzi.

Ninajua hao watesi kwasababu ya nia yao wanainua maneno ya uongo juu yako ili uaibike na kuanguka

Lakini nia yao haitafanikiwa nimekuombea Bwana akutoe katika nia ya watesi wako katika jina la Yesu


Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a comment