
Mwalimu Mchungaji Peter Mitimingi alifariki usiku kuamkia leo 4 Mei 2020.Alikua kiongozi wa kanisa la Warehouse Christian Centre (WHC).Pia alikua mkurugenzi mtendaji wa huduma ya Voice of hope Ministry,Alikua mshauri wa saikolojia wa Blccc aliyesoma nchini Kenya.
Alikua anaumwa,sukari ikapanda,ikaanza homa ya mapafu.Wakati akiwa kwenye huduma vijijini Arusha alipigwa na baridi kali mvua iliponyesha,ikamsumbua na kupelekea kufariki kwake.Jenerali Alikua kazini kujenga ufalme mkoani Arusha aliponyeshewa na mvua.
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.

