Skip to content
cantonadigital

cantonadigital

Month: April 2020

Warumi 12:19

Wapenzi, msijilipize kisasi, bali ipisheni ghadhabu ya Mungu; maana imeandikwa, Kisasi ni juu yangu mimi; mimi nitalipa, anena Bwana.Unapoamua kuanzisha safari ya kulipa kisasi ANZA KUCHIMBA MAKABURI… Read more “Warumi 12:19”

April 3, 2020 by CantonaDigital

Mungu leo akupe masikio ya Roho

Mwanajeshi anapokuwa vitani anayaamini maji aliyo yabeba kwenye kibuyu chake na sio kunywa kunywa tu kila maji atakayo kutana nayo.Anaweza akakuta dimbwi la maji hata kama ana… Read more “Mungu leo akupe masikio ya Roho”

April 3, 2020 by CantonaDigital

Damu ya Yesu ikufunike na kufuta kila laana

Unapokuwa unaomba lazima ujue unaiomba nguvu ya aina gani na inauwezo wa kufungua nini,kufanya maombi bila kuwa na Imani kwa Mungu wala matumaini ni kupoteza Muda,kutokuwa na… Read more “Damu ya Yesu ikufunike na kufuta kila laana”

April 3, 2020April 3, 2020 by CantonaDigital

Sema unaweza….

Kuna mambo yanakuhusu wewe na si mtu mwingine,usisikilize watu wanasema nini juu yako angalia wewe unaona nini,Wanaweza kusema kitu unachokianzisha huwezi kufanikiwa lakini wewe moyoni mwako unaona… Read more “Sema unaweza….”

April 3, 2020 by CantonaDigital

Singing a song during the darkest moment of your life.

Paul and Silas,they didn’t do anything wrong to be thrown in prison.It is possible you might be serving God faithful and you are suffering.You might be going… Read more “Singing a song during the darkest moment of your life.”

April 3, 2020April 3, 2020 by CantonaDigital

Mambo ya kuzingatia katika uchumba

I:USIHARAKISHE. Usiharakishe na kukurupuka kutafuta mchumba kabla ya wakati muafaka.Pengine unaweza kujiuliza ni wakati upi ni muafaka kutafuta au kuwa na mchumba?ni wakati unapokuwa umekomaa kiroho, kiakili… Read more “Mambo ya kuzingatia katika uchumba”

April 3, 2020 by CantonaDigital

What to do when things fall apart.

This is season the church is supposed to worship God,this is the language of God not repentance.During Noah’s time when you read Genesis 6 something abnormal happen… Read more “What to do when things fall apart.”

April 3, 2020 by CantonaDigital

Posts navigation

Newer posts
Blog at WordPress.com.
Privacy & Cookies: This site uses cookies. By continuing to use this website, you agree to their use.
To find out more, including how to control cookies, see here: Cookie Policy
  • Subscribe Subscribed
    • cantonadigital
    • Join 31 other subscribers
    • Already have a WordPress.com account? Log in now.
    • cantonadigital
    • Subscribe Subscribed
    • Sign up
    • Log in
    • Report this content
    • View site in Reader
    • Manage subscriptions
    • Collapse this bar