Skip to content
cantonadigital

cantonadigital

Month: April 2020

Endelea kumtumainia Mungu.

Ni muda mrefu sana kusoma lakini ni muhimu kwetu kujua kuwa kile kinachosema BIBLIA kinatokea sasa,! Unyakuo utafanyika wakati wowote kutoka sasa .. Kila kitu kinachozuia unyakuo… Read more “Endelea kumtumainia Mungu.”

April 19, 2020 by CantonaDigital

Daudi akakwea sawasawa na neno la Gadi.

“Siku hiyo Gadi akamwendea Daudi, akamwambia, Haya! Kwea wewe, ukamwinulie Bwana madhabahu penye kiwanja cha Arauna, Myebusi. Basi Daudi akakwea sawasawa na neno la Gadi, kama Bwana… Read more “Daudi akakwea sawasawa na neno la Gadi.”

April 19, 2020 by CantonaDigital

Watu wa ninawi walimsadiki Mungu.

Biblia Takatifu. Yona 3:5-8[5]Basi watu wa Ninawi wakamsadiki Mungu; wakatangaza kufunga, wakajivika nguo za magunia, tangu yeye aliye mkubwa hata aliye mdogo.[6]Habari ikamfikia mfalme wa Ninawi, naye… Read more “Watu wa ninawi walimsadiki Mungu.”

April 17, 2020 by CantonaDigital

We Binti sayuni piga kelele!!!

1 Ole wake yeye aliyeasi na kutiwa unajisi, mji wa udhalimu!2 Hakuitii sauti; hakukubali kurudiwa; hakumwamini BWANA; hakumkaribia Mungu wake.3 Wakuu wake walio ndani yake ni simba… Read more “We Binti sayuni piga kelele!!!”

April 17, 2020 by CantonaDigital

Siku Njema.

Kongowea mswahili,Ni jina alituzwa baada ya kushinda tuzo shuleni katika simulizi ya Siku njema.Maelezo ya mwanzo mwandishi anatumia kwenye maelezo Msanifu Kombo, katika kitabu siku njema,Kongowea anazaliwa… Read more “Siku Njema.”

April 16, 2020 by CantonaDigital

Maisha ni mshuma uso mkesha.

Kifo kweli hakina huruma. Ajali haina kinga, katikati ya giza totoro,unatuziba na kutupa siku mbaya leo.Nachukua fursa hii kwa masikitiko makubwa kunakili haya,ni swala ambalo limenipata katika… Read more “Maisha ni mshuma uso mkesha.”

April 15, 2020April 15, 2020 by CantonaDigital

Y

April 15, 2020April 15, 2020 by CantonaDigital

WANAOMWABUDU MUNGU KIUNABI MPO?YANI PROPHETIC WORSHIPER.

Nakusalimu mpendwa mwana wa Mungu ktk jina la Yesu. Namheshimu sana mkristo anayejitambua. Najua tunaishi kwenye nyakati ambazo watumishi wengi wanataka waonekane kuwa ni watumishi. Tena wanataka… Read more “WANAOMWABUDU MUNGU KIUNABI MPO?YANI PROPHETIC WORSHIPER.”

April 14, 2020 by CantonaDigital

Unapomkaribia Mungu,Naye anawakaribia!

Yakobo 4 : 7-87 Basi mtiini Mungu. Mpingeni Shetani, naye atawakimbia. 8 Mkaribieni Mungu, naye atawakaribia ninyi. Itakaseni mikono yenu, enyi wenye dhambi, na kuisafisha mioyo yenu,… Read more “Unapomkaribia Mungu,Naye anawakaribia!”

April 14, 2020 by CantonaDigital

Watu wanakutazama na kukutathmini kulingana na wao walivyo

Mungu anajua faida ya kutokutupa vitu tunavyovitamani, kwa sababu vinaweza kuwa NA hasara ya muda mrefu na maumivu makali sana. Je! Utachagua kipi kati ya kupata na… Read more “Watu wanakutazama na kukutathmini kulingana na wao walivyo”

April 3, 2020 by CantonaDigital

Posts navigation

Older posts
Newer posts
Blog at WordPress.com.
cantonadigital
Blog at WordPress.com.
Privacy & Cookies: This site uses cookies. By continuing to use this website, you agree to their use.
To find out more, including how to control cookies, see here: Cookie Policy
  • Subscribe Subscribed
    • cantonadigital
    • Join 31 other subscribers
    • Already have a WordPress.com account? Log in now.
    • cantonadigital
    • Subscribe Subscribed
    • Sign up
    • Log in
    • Report this content
    • View site in Reader
    • Manage subscriptions
    • Collapse this bar
 

Loading Comments...