Bwana Yesu Asifiwe Nataka nikutie Moyo mpya Na nguvu mpya ili uweze kuendelea mbele kwa ushindi kabisa kwa Jina la Yesu 🔹Inawezekana ulifika mahali ukakata tamaa kwasababu… Read more “Usikate Tamaa.”
Month: April 2020
Pray to God to raise prophetic worshipers not Gospel artist looking for fame.
The reason why we should correct the error, we should raise Gospel ministers who minister the word through prophetic worship and praise but not gospel artist who… Read more “Pray to God to raise prophetic worshipers not Gospel artist looking for fame.”
Umewahi kuwaza gharama (price) ya kukombolewa
Umewahi kuwaza gharama (price) ya kukombolewa/kuvunja maagano (hasa ya vizazi) ilivyo ngumu kuilipa mwenyewe? Fikiria yafuatayo. Je! Unajua walioyaingia maagano hayo na miungu waligharamia kiasi gani? Mali,… Read more “Umewahi kuwaza gharama (price) ya kukombolewa”
Mengine ukisema ndio unapona
Siku utakayoanza kujiona wewe ni zaidi ya wote kwenye kazi yako, huduma yako, kipawa chako na maisha yako… NDIO ITAKUWA MWANZO MDOGO WA MWISHO WAKO.Huwezi mzuia njiwa… Read more “Mengine ukisema ndio unapona”
Usisikilize watu wanasema nini msikilize Mungu anasema nini?Wewe unaona nini.
Kuna mambo yanakuhusu wewe na si mtu mwingine,usisikilize watu wanasema nn juu yako angalia wewe unaona nini,Wanaweza kusema kitu unachokianzisha huwezi kufanikiwa lkn ww moyoni mwako unaona… Read more “Usisikilize watu wanasema nini msikilize Mungu anasema nini?Wewe unaona nini.”
Prophetic worship & praise, Lesson 8:About Job
The text for this lesson is Job 1:1–2:6; 42 Key Point Despite all the troubles the devil threw at Job, God is faithful and did not allow the devil… Read more “Prophetic worship & praise, Lesson 8:About Job”
Prophetic Worship Lesson 7: Paul and Silas in Prison
The text for this lesson is Acts 16:16–34 Key Point Through the witness of Paul and Silas to the Philippian jailer and his family, the kingdom of God… Read more “Prophetic Worship Lesson 7: Paul and Silas in Prison”
Mungu hunena vipi?
Je Mungu hunena kutokana na cheo ulicho nacho?Hapana.Atanena tuu,kulingana na uwezo wake na hulka uliyo nayonjema. Atanena kuambatana na Imani mwanadamu anayo kwake. Imani uliyo nayo kwake… Read more “Mungu hunena vipi?”
Ufunuo huu…
Wapendwa wana wa Mungu nawasalimu katika jina la Bwana wetu Yesu Kristo,Ningependa nitumie muda huu kushare nanyi hili jambo la muhimu nililopata ufunuo ktk siku tatu hizi… Read more “Ufunuo huu…”
Maono ya Isaya.
1 Haya ni maono ya Isaya, mwana wa Amozi, aliyoyaona katika habari za Yuda na Yerusalemu, siku za Uzia na Yothamu na Ahazi na Hezekia, wafalme wa… Read more “Maono ya Isaya.”