Je Mungu hunena kutokana na cheo ulicho nacho?Hapana.Atanena tuu,kulingana na uwezo wake na hulka uliyo nayo
njema.
Atanena kuambatana na Imani mwanadamu anayo kwake. Imani uliyo nayo kwake ni kigezo cha yatakayo tendeka kwako.
Mchungaji Erasto Shengezi.
Patron Fortune Int’l Ministries
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.
