Kuna mambo yanakuhusu wewe na si mtu mwingine,usisikilize watu wanasema nini juu yako angalia wewe unaona nini,
Wanaweza kusema kitu unachokianzisha huwezi kufanikiwa lakini wewe moyoni mwako unaona inawezekana
Wanaweza kukusikitikia na wakaona unaharibikiwa lkn ww moyoni unaona ushindi
Mji ya Yeriko ulifungwa kuta zote kwasababu ya wana wa Israel ukazibwa hakuna mtu kutoka wala kuingia (Yoshua 6:1…) Katika ulimwengu wa Roho unaweza ukawa umezungushiwa kuta na ngome ukashindwa kuvuka kwenda hatua nyingine vita yako haifanani na mtu mwingine mazingira ya adui alivyo kupangia si sawa na watu wengine,jisimamie Mungu ataangusha kuta zote kwa miguu yako.Pokea ushindi kwa Jina la Yesu
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.