Kuna uhusiano upi Kati ya kutengeneza Mambo ya nyumba yake na hicho anachoomba,HezekiaSikia nikuambie kwamba.Hezekia alijua kuwa alipokuwa anamtumikia MunguYupo shetani aliyekusanya mapungufu yake na makosa yake… Read more “Je kuna uhusiano upi wakati, Hezekia anaposema kutengeneza mambo ya nyumba yake na kuongezewa miaka ya kuishi.”
Month: March 2020
Dalili za ugonjwa wa korona
Dalili zionekanazo mara kwa Mara:• Homa• Kikohozi kibichi• Uhemaji wa tabu• Maumivu ya mwili• Kuuma kwa koo mfano wamatonses (tonsillitis)• Kukosa hamu ya kula Dalili za mara… Read more “Dalili za ugonjwa wa korona”
Unapomwamini Yesu unapokea nguvu ya Kifalme.
Ndio maana ukimwamini Kristo unapokea uwezo wa kifalme atasema unapitia changamoto lakini faham unaouwezo wa kifalme ndani yako Nilipata neema ya kuyachukua baadhi ya majina umuili niombee… Read more “Unapomwamini Yesu unapokea nguvu ya Kifalme.”
Mwanajeshi anapokua vitani.
Mwanajeshi anapokuwa vitani anayaamini maji aliyo yabeba kwenye kibuyu chake na sio kunywa kunywa tu kila maji atakayo kutana nayo.Anaweza akakuta dimbwi la maji hata kama ana… Read more “Mwanajeshi anapokua vitani.”
Utandawazi Ni kitu kizuri.
Utandawazi ni kitu kizuri sana kwa mtu yeyote kijana,mzee,binti,n.k kwasababu inaelimisha na kupanuka kwa maarifa Daniel 12:4Lakini pamoja na faida hizo kwa wingi watu wamechanganya utandawazi na… Read more “Utandawazi Ni kitu kizuri.”
Yapendeni mema.
1 Lisikieni neno hili nilitamkalo liwe maombolezo juu yenu, enyi nyumba ya Israeli.2 Bikira wa Israeli ameanguka;hatainuka tena;Ameangushwa katika nchi yake;hakuna mtu wa kumwinua.3 Kwa kuwa Bwana… Read more “Yapendeni mema.”