Unapomwamini Yesu unapokea nguvu ya Kifalme.

Ndio maana ukimwamini Kristo unapokea uwezo wa kifalme atasema unapitia changamoto lakini faham unaouwezo wa kifalme ndani yako
Nilipata neema ya kuyachukua baadhi ya majina umuili niombee nikafunuliwa vitu vingi,wapo watu bado wanatawaliwa na viumbe ktk ulimwengu wa kirongo na Bwana amekuwa anakufunulia ktk ndoto za mavamizi pia unavalishwa pete na mtu usiye mfaam faam bado unaitaji neema ya Kristo ili upate uwezo wa kifalme na kutawala viumbe vyote
Bwana akupe nguvu na utawala kila mahari au eneo kwa jina la Yesu
Unaweza ukawa unafanya kazi au biashara lakini. hilo eneo kukawa na ushindani sana usijue wengine wanatumia nguvu za giza na ukaona mambo kukwama sana usijue kuna ushindani wa falme ktk ulimwengu wa kiroho
Kutoka 19:6 nanyi mtakuwa kwangu ufalme wa makuwani na taifa takatifu Hivyo ndivyo maneno utakavyowaambia wana wa Israel
Shalom hbr za leo muwe na siku njema yenye ushindi ktk yote.Utabarikiwa kwa kila unalolifanya litatanguliwa na nguvu za roho mtakatifu
Wote mbarikiwa na ongera kwa majukumu ya kutwa naamini Bwana aliwatangulia kwa kila jambo
Kama ilivyo sayari zote zimeshikwa na nguvu,hivyo ata watu wa Mungu kuna nguvu inawatawa.

Iwe mchana au usiku tunalindwa na nguvu ya Bwana hivyo usiogope kwa kila jambo ipo neema ya Bwana juu yako.

Huu ni wakati wa ushindi watu wengi wenye asili ya Mungu wanamgeukia Bwana,Isaya 11:11 Na itakuwa ktk siku hiyo Bwana atapeleka mkono wake mara ya pili ,ili ajipatie watu wake walio salia kutoka Ashuru na kutoka kushi (ethiopia) Kuna nguvu ya Mungu wakati huu kwa wote wanao mwamini Kristo
Yapo mambo mengi tuu yakufaam ili ufanikiwe zaidi na kujitenga na roho za mafatilizi au nguvu inayotokana na vizazi ambavyo vilikuwa na asili fulani za giza,km ukisoma Waamuzi 6:28 Hata watu wa mji walipoondoka asubuhi na mapema tazama madhabahu ya baali ilibomolewa na ile Ashera iliyokuwa karibu imekatwa. Mara nyingi madhabahu za giza uwa zipo na kuna miti inatumika zamani kwenye Biblia iliitwa Ashera,hii leo ni sehem ambayo wachawi wanafanya vikao vyao au sehem maalum ya matambiko .

Nabaada ya kufanya ivyo Mungu alimtumia na kuwaokoa wana wa Israel,.kunakitu kinaweza likawa kizuizi sana kwako na usijue utoke vipi kumbe bado una maunganisho furani ya asili yaani koo zilikuwa zinamakafara mengi na yalikuwa na nguvu furani ndio maana bado unaangaika Unaweza kujifunza kitu apo Gideon alifanya kazi mbili kubomoa madhabahu ya Baali na kukata mti wa Ashera
Angalia tena neno hili kwa Ibrahim naye baba yake alikuwa anaabudu miungu lkn ili Mungu afanye kitu alimvusha ng’ambo…Joshua 24:2

Bwana akupe neema ujue siri zake ili upate neema na nguvu ya utawara kwa jina la Yesu
Ni nguvu pekee na damu ya Yesu kristo ndio yenye uwezo wa kuangusha madhabahu za kichawe na kukata miti yote iliyonganisha mambo yako anza kuomba ndani ya siku saba utaona kunakitu Bwana atatenda
Kila mahari ambapo jina lako lilitumika kwa kichawi ninafuta kwa jina la Yesu
Dhambi na kafara za mababa zisikufatilie kwa jina la Yesu,pokea nguvu ya neema. Barikiwa kwa kunielewa na Bwana wa mbingu na nchi akuinue zaidi. Zaburi 111:10 Kumcha BWANA ndio mwanzo wa hekima
Wote wafanyao hayo wana akili njema
Bwana pia awapeneema ya kufaam zaidi kwani wengi wamefuniwa. Matendo 8:30 Basi Filipo akaenda mbio akamsikia akisoma chuo cha nabii Isaya akasema je unaelewa?31 Akasema nitaweza kuelewa mtu asipo niongoza?
Unaweza kulisoma neno lkn unaitaji utulivu wa roho wa Mungu

Yapo maswari mengi utapenda umfaam Yesu
Yohana 8:54 Yesu akajibu ni kijitukuza mwenyewe utukufu wangu si kitu anitukuzaye ni Baba yangu ambaye ninyi mwanena kuwa ni Yohana 8:36 Basi Mwana akiwaweka huru mtakuwa huru kweli kweli
Yohana 17:5 Na sasa,Baba unitukuze mimi pamoja nawe kwa utukufu ule niliokuwa nao pamoja nawe kabla ya ulimwengu kuwakimbia

Matendo 5:30 Mungu wa baba zetu alimfufua Yesu… Nakutakia Baraka zaidi napia upende sana kusoma na kujifunza neno la Mungu na kuifaam neema yake Yesu kristo kweni yeye ni njia ya kweli na uzima uwe na baraka 1 wakorintho 8:6 lakini kwetu sisi Mungu ni mmoja aliye Baba ambaye vitu vyote vimetoka kwake,nasi tunaishi kwake ;yuko na Bwana mmojaYesu kristo ambaye kwetu vitu vyote vimekuwepo na sisi kwa yeye huyo🙏🏽🙏🏽


Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a comment