A good bible student knows that between Malachi and John the Baptist there was a gap of 400 years of silence. No vision or prophecy. The heavens… Read more “PIERCING THROUGH THE DARKNESS”
Month: February 2020
The are four types of men
Men by birth.They fulfil the mandate of gender and because of time and space they just grow identifying as male but dont function in the capacity. Men… Read more “The are four types of men”
Ebrania 12:24
Na Yesu mjumbe wa agano jipya, na damu ya kunyunyizwa, inenayo mema kuliko ile ya Habili (speaks better things than that of Abel) Damu za hawa wawili… Read more “Ebrania 12:24”
Mungu hakumzuia Farao kuwafwata wana wa Israel
Mungu hakumzuia Farao kuwafwata wana wa Israel walipotoka Misri tena aliufanya moyo wake kuwa mgumu kabisa ili asikate tamaa ya kuwafatilia lakini alikua na maana yake,alimpiga pigo… Read more “Mungu hakumzuia Farao kuwafwata wana wa Israel”
Mungu humtumia mtu kuzisema habari zake
Mungu humtumia mtu kuzisema habari zake,Alimtumia Joshua,Musa,Elisha na wengine wengi kufikisha ujumbe wake kwa Taifa lake nami leo hii nasema kile Mungu anataka ukijue ; pamoja na… Read more “Mungu humtumia mtu kuzisema habari zake”
Mungu analiangalia na kulilinda
Habari njema za Mungu zinapokelewa kwa shida sana.Unapo amua kushika njia sahihi shika kweli kweli usidhani watakuwa wengi wanaokuamini na kukufuata maana Mungu anapoanza kumfungua mtu anafunga… Read more “Mungu analiangalia na kulilinda”
Kama ulizaliwa ukoo wa laana baada ya Kumpokea Yesu laana inaishia hapo.
Kama ulizaliwa ukoo wa laana baada ya Kumpokea Yesu laana inaishia hapo.Kama ulizaliwa ukoo maskini umaskini unaishia pale ulipo mpokea Yesu.Kama ulizaliwa ukoo ambao hakuna anayeweza pata… Read more “Kama ulizaliwa ukoo wa laana baada ya Kumpokea Yesu laana inaishia hapo.”
Mungu anataka kukutumia
Mungu anataka kukutumia,na yuko tayari kukujibu kwa kila uliombalo kwakua ni ahadi yake amesema ombeni nanyi mtapewa,kwanini haupokei kuna sababu.Kuna vitu vinavyo kufanya usipokee Gidioni alikua anatoka… Read more “Mungu anataka kukutumia”
Wewe ni chombo muhimu sana mbele za Bwana
Wakati uliokubalika ni sasa,huu ndio wakati wa kufanya mabadiliko kwenye maisha yako ukimuamini Mungu kwa kila hatua yako.Unajua kuna neno linasema sisi tumeumbwa kwa kwa mfano wa… Read more “Wewe ni chombo muhimu sana mbele za Bwana”
Daniel 3:8-29
Danieli:3.8Basi baadhi ya Wakaldayo wakakaribia, wakaleta mashitaka juu ya Wayahudi.Danieli:3.9Wakajibu, wakamwambia mfalme Nebukadreza, Ee mfalme, uishi milele.Danieli:3.10Wewe, Ee mfalme, ulitoa amri ya kwamba kila mtu atakapoisikia sauti… Read more “Daniel 3:8-29”