Mungu humtumia mtu kuzisema habari zake,Alimtumia Joshua,Musa,Elisha na wengine wengi kufikisha ujumbe wake kwa Taifa lake nami leo hii nasema kile Mungu anataka ukijue ; pamoja na yote unayopitia hakikisha unajenga nyumba yako juu ya mwamba imara. Naaminisha ijenge imani yako juu ya Kristo Yesu hayo unayo yapitia ni Mungu ameyaruhusu yaje ili umuaibishe shetani kwan anajua una uwezo wa kuyavuka usikate tamaa na kuogopa kwakua Mungu anakuamini na yuko pamoja na wewe muite muda wowote atakusaidia kushinda.
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.