Mwaka wa 2006 nikiwa Imani Radio kitale, niliulizwa swali la bila kutarajia ghafla na mtangazaji mweenzangu, swali lilikua unamzungumziaje mwanamke? Na unanini cha kumwambia mama yako?…. Kwa… Read more “Mwanamke ana uwezo mkubwa ni mjasiria mali.”
Month: January 2020
2020 is a year of Freedom for you…
IT ALL BEGINS WITH FIRST FRUITS!! I declare freedom and favor over you, over your entire year! This is an incredibly prophetic moment… I believe we will… Read more “2020 is a year of Freedom for you…”
Mkono wa Mungu Ni Msaada mkuu
Bwana YESU KRISTO atukuzwe ndugu zangu wote.Karibuni tujifunze Neno la MUNGU. Kuna utendaji wa aina nyingi wa mkono wa MUNGU. Ayubu 27:11 “Nitawafundisha ninyi mambo ya mkono… Read more “Mkono wa Mungu Ni Msaada mkuu”
Usiwe mtumwa wa mahusiano.
Usiwe mtumwa wa mahusiano jamani kuna watu wanaishi na majeraha moyoni kuna wanaumia hadi sasa ila wapo tu ngoja nikuambie kua mtumwa wa MUNGU utapata amani ya… Read more “Usiwe mtumwa wa mahusiano.”
Mlango wa kwenda mbinguni.
Bwana YESU KRISTO atukuzwe ndugu zangu wote.Karibuni Sana tujifunze Neno la MUNGU aliye hai. Kila mwanadamu akifa huenda sehemu mojawapo Kati ya hizi mbili; Kuna mtu akifa… Read more “Mlango wa kwenda mbinguni.”
Usikate tamaa maishani.
Mama mmoja alihangaika sana kupata mtoto, katika umri wake wa miaka 45 alikua ameolewa mara tatu na katika kila ndoa aliachika kwakua hakua na uwezo wa kupata… Read more “Usikate tamaa maishani.”
Jifunzeni kutenda mema.
1SAYA 1;16-18 16 Jiosheni, jitakaseni; ondoeni uovu wa matendo yenu usiwe mbele za macho yangu; acheni kutenda mabaya;17 jifunzeni kutenda mema; takeni hukumu na haki; wasaidieni walioonewa;… Read more “Jifunzeni kutenda mema.”
MAOMBI YA KUHARIBU NA KUPASUA MAFUNDO YA UCHAWI.
Bwana YESU atukuzwe ndugu zangu.Karibu tujifunze Neno la MUNGU la ushindi kisha tuombe pia maombi ya ushindi.Inawezekana kabisa kuna aina nyingi za uchawi na Biblia imeweka wazi… Read more “MAOMBI YA KUHARIBU NA KUPASUA MAFUNDO YA UCHAWI.”
Umuhimu namba tatu.
Leo ni Ijumapili ya tatu ya mwaka 2020.Number 3 katika biblia ni number ya ushindi pia ni number ya ufufuo.Kama umeiona siku ya Leo, basi wewe ni… Read more “Umuhimu namba tatu.”
Usidharau ndoto na maono uliyonayo.
Shalom wapendwa sikuzote malipo na maumivu ndipo palipo na ushindi moyo bali nakuambia halihalisi maisha yalivyo unapopitia maumivu makali jua Mungu anakupeleka sehemu nzuri anakuvusha pabaya nikwambie… Read more “Usidharau ndoto na maono uliyonayo.”