Usiwe mtumwa wa mahusiano.

Usiwe mtumwa wa mahusiano jamani kuna watu wanaishi na majeraha moyoni kuna wanaumia hadi sasa ila wapo tu ngoja nikuambie kua mtumwa wa MUNGU utapata amani ya milele moyo wako utakua kama barafu kwanini uko mtumwa wa mtu unaumia basi sasa mfanye BWANA YESU kua wa kwanza na maisha yake kua ya pili patatu mpe Mungu apasimamie huyo anaeumiza moyo wako kila leo MUNGU 1 Maisha yako au mipango yako 2 kama unandoa MUNGU 1 ndoa 2 mipango 3 jipende wewe kama unatesa moyo wako unatafuta mauti na unampa shetani nafasi.

CantonaJoseph’s contacts

Facebook https://www.facebook.com/CantonaJoseph/

Instagram https://www.instagram.com/Cantona.Joseph.

Twitter https://twitter.com/@CantonaJoseph

LinkedIn https://www.linkedin.com/in/CantonaJo

Management Fortune Baraka Entertainments

Website https://CantonaJoseph.Wordpress.Com

Email:fortunebaraka.entertainmentsltd@gmail.com

cantona.online254@gmail.com

Contacts +254748836127

Wewe ni wa maana sana!

All Rights Reserved @2020/FortuneBarakaEntertainments.


Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a comment