Leo ni Ijumapili ya tatu ya mwaka 2020.
Number 3 katika biblia ni number ya ushindi pia ni number ya ufufuo.
Kama umeiona siku ya Leo, basi wewe ni mshindi na pia Mungu anakwenda kufufua kila kitu kilicho kufa maishani mwako.
Mungu anaifufua ndoa yako.
Mungu anaifufua biashara yako
Mungu anaifufua Afya yako
Mungu anaifufua elimu ya Watoto wako
Pia Mungu anaifufua huduma yako iliokufa.
Lakini kumbuka Jambo moja hayo yote yatafanyika kwako ikiwa tu UTATII SAUTI YA MUNGU
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.