Kila jambo na wakati wake,kila wakati una maana sana na kusudi lake.Kma ulikua unalia kuna furaha inakuja mbele yako,kama ulionewa na kudharauliwa heshima inakuja kwako,waliokupiga vita sana mwaka jana mwaka huu ni majira ya amani na furaha kwako. (Mhubiri 3;1) Huu ni wakati uliokubalika na wote wenye imani watapokea miujiza mikubwa kwa Jina la Yesu.
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.