kuna muda unakua na maswali mengi hupati majibu unakuta yanaumiza akili yako.hadi kichwa kinauma upo unaeishi nae ila kama unaishi maisha matakatifu yupo ROHO wa MUNGU huyo ndio anaekuongoza wewe anamajibu ya maswali yako mulize kama unaishi nae vizuri hata ukisema nae bila maombi atakupa majibu pia penda kuongozwa nae kila kitu unachofanya hadi kuongea ili akupe hekima ya maneno ukiamka asubuhi ukisha omba mwambie MUNGU unataka kuongozwa na Roho wake maasaa 24 ya siku yko ndio uwanze kazi zako atakuongoza vyema tu ukienda kinyume atakupa ishara flani.lazima ujihisi unakosea huyo atakufundisha kila kitu mfanye rafiki wa karibu anamaswali ya majibu yako kunamuda unakurupuka kitandani huombi muda umeisha unawahi kazini tunaemtu wa ndani na masikio ya ndani namacho ya ndani hayo ndio hutusogeza karibu na MUNGU kuona na kusikia vifunike kwa damu ya YESU na mwambie MUNGU unahitaji kuishi kiroho na sio kimwili uwone vya rohoni na kusikia omba Roho akuongoze mitego ya adui mingi ya asubuhi ukitoka kiuzembe itakunasa usidharau maombi ya asubuhi weka ratiba kila leo.
upo umuhimu mkubwa wa kuwaombea watumishi wetu watumishi wanabeba majukumu mazito mno watumishi wanavita kibwa wanawindwa kila leo kwa sababu yetu unakuta adui amekuandalia matatizo makubwa yakupate mtumishi anakuombea adui wako anapambana na mtumishi nimeshuhuduia ajali ilipangwa kwa jili ya mtumishi ili afe kisa kawaombea wanye matatizo maadui wakaanda vikao wakapanga ajali ili wamuue ajali ikatokea waliopoteza maisha niwale wasio na hatia waliomkusudia akabaki adui akamua ajidhihirishe kua tunamtafuta fulani kwanini katukosesha kafara zetu sasa hata wewe ulipangwa uwe kafara ila mtumishi amemsihi MUNGU adui akakukosa hasira zinahama kwa mtumishi tusisahau kumsihi MUNGU WETU awalinde watumishi wetu wala usiogope kwamana MUNGU yupo kwa jili yako
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.