TUNAPOMALIZA 2019 WEWE ULIEOKOKA UNAYESEMA YESU NI MOKOZI WAKO.
Je bado unaingia [2020] na fikra zilezile Za Kujiona mwenye Dhambi wakati dhambi zako zimeondolewa na kufutwa na umepewa Roho Mtakatifu akusadie usitende dhambi Tena?
Je bado unaFikra za kujiona Hustaili mbele ya babayo, wakati Umestahilishwa na Yesu?
Je bado unaFikra za Kuendelea Kutubu kwa Mazoea bila Badiliko la kweli wakati tayari umeshasamehewa na kuondolewa hati za mashitaka juu yako?
Basi kama ni hivyo 2020 Shetani ataendelea kutangaza UBABE Sana juu yako Mana INAONEKANA wewe HUJITAMBUI Kama Mtu uliye uzao mteule na ukuhani wa kifalme, mtu wa miliki ya Mungu uliyetawazwa juu ya kazi zote za uumbaji za Mungu kupitia Yesu Kristo.
MANA AJIONAVYO MTU NAFSINI MWAKE, NDIVYO ALIVYO.
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.