Yusufu akaota ndoto akaona kuinuliwa nyota kumi na moja jua na mwezi zinamuinamia,Mungu aliaanda mipango yake kwa Israel siku za usoni japo ata ndugu zake awakujua Mipango ya Mungu juu yao,ndivyo ilivyo usitegemee kila ndoto uliyonayo watu watakuunga mkono lzm utokee upinzani(Mwz 37:9-11)
Yapo malengo na ndoto unatamani yatokee mwaka huu ukuukimwamini Mungu,kweli Bwana ni mwaminifu atatenda jambo la muhim ni kusimama kwenye msingi wa imani Bwana Yesu yeye ni mwema atatenda
Jaribu kujifunza kwa familia ya Yakobo wote walijengwa kwenye msingi wa Imani ya kumjua Mungu lkn walimpinga Yusufu,lakujifunza hapo anaweza kukuvunja moyo atamcha Mungu juu ya ndoto yako jifunze kumtegemea Mungu utashinda na kuyafikia malengo yako.
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.