Subiri nikuambie kitu hamisha moyo wako ulipouweka kunawatu YESU NI BWANA NA MWOKOZI WENU lakini akili zenu na mioyo yenu imeshikiliwa na watu wengine kana kwamba wakiondoka… Read more “Epuka magonjwa ya moyo.”
Month: December 2019
Mungu amekuwekea Mke wako/Mume wako,msubirie atatenda.
Bwana YESU KRISTO atukuzwe ndugu yangu.Karibu tujifunze Neno la MUNGU.Kijana uliyejitunza na unaishi maisha matakatifu je unajua kwamba MUNGU amekuwekea Mke wako ili kwa majira yake ufunge… Read more “Mungu amekuwekea Mke wako/Mume wako,msubirie atatenda.”
Utumwa Africa
Originally posted on cantonadigital:
Afrika kwa sasa inashuhudia aina mpya ya utumwa kupitia Ukristo (ulokole). Aina hii ya utumwa wa imani imewafanya watu wengi kuwa wavivu wa…
Utumwa Africa
Afrika kwa sasa inashuhudia aina mpya ya utumwa kupitia Ukristo (ulokole). Aina hii ya utumwa wa imani imewafanya watu wengi kuwa wavivu wa kufikiri na uwezo wa… Read more “Utumwa Africa”
Kuifungua roho yako na kifungo kitokanacho na kusiko sahii kati ya nafsi yako na nafsi ya MTU mwingine( Breaking in Godly soul ties,the soul dynamics of relationships.)
Somo la leo mpendwa limelenga kuwasaidia watu ambao wapo katika mahusiano ambayo sio sahihi lakini wanajiona kama wanashindwa kunasuka nayo. Hili somo linataka litusaidie kunasua nafsi zetu… Read more “Kuifungua roho yako na kifungo kitokanacho na kusiko sahii kati ya nafsi yako na nafsi ya MTU mwingine( Breaking in Godly soul ties,the soul dynamics of relationships.)”
Unapojiandaa kuingia mwaka mwingine.
Bwana YESU KRISTO atukuzwe ndugu yangu popote ulipo.Namshukuru sana MUNGU Baba wa mbinguni kwa neema yake ya ajabu katika KRISTO YESU juu yangu, naamini na kwako pia… Read more “Unapojiandaa kuingia mwaka mwingine.”
Unapojiandaa kuingia mwaka mpya.
Leo naanza hivi. Kila wakala wa shetani aliyekupangia ratiba yake, huyo mpambe wa shetani na ratiba yake wasifanikiwe katika jina la YESU KRISTO Mwokozi aliye hai. Kila… Read more “Unapojiandaa kuingia mwaka mpya.”
Mungu ana kusudi na wewe!!!!!mwaka 2020
Kuna sababu kubwa ya wewe kuendelea kuishi duniani,ni Mungu amekuacha hai kwa kusudi maalumu,sio kwa ujanja au bahati yako hapana Mungu anataka ufanye ambalo alitaka ulifanye ukiwa… Read more “Mungu ana kusudi na wewe!!!!!mwaka 2020”
Jinsi ya kupona jeraha la moyo ulilojeruhiwa.
Bwana YESU atukuzwe ndugu yangu.Karibu tujifunze Neno la MUNGU la ushindi. Katika maisha wakati mwingine kuna kupitia majeraha makubwa sana ya moyo.Majeraha ya moyoni ni majeraha mabaya… Read more “Jinsi ya kupona jeraha la moyo ulilojeruhiwa.”
Vunja urafiki na marafiki wabaya.
Bwana YESU KRISTO atukuzwe ndugu zangu wote.Karibuni tujifunze Neno la MUNGU.Leo tunaangalia baadhi ya marafiki wabaya ili tuvunje urafiki nao. Nini maana ya neno “Rafiki”? Rafiki ni… Read more “Vunja urafiki na marafiki wabaya.”