Mafanikio bora kabisa ni yakufanya kile ulichoumbiwa kufanya. Haya ni zaidi ya mafanikio ya vitu. Vitu huchakaa, huoza, hubomoka, huchacha, na mara nyingi mwenye vitu akiondoka vingi… Read more “HAYA NDIYO YALIMFANYA YESU KUSEMA CHAKULA CHANGU NI KUYATENDA MAPENZI YA BABA YANGU ALIYENIPELEKA.”
Month: December 2019
SI KWA AJILI YAKO, NI KWA AJILI YAO
Anasema yeye hakuomba kuwa maarufu, ila kile alichopewa kufanya kilimpa umaarufu, na KWA sababu ya umaarufu huo siku moja alishambuliwa na kuandikwa vibaya na gazeti, na kama… Read more “SI KWA AJILI YAKO, NI KWA AJILI YAO”
Ndugu wakae pamoja kwa umoja.
Natamani kusema kama Musa alivyosemaHesabu 11:29 Musa akamwambia, Je! Umekuwa na wivu kwa ajili yangu; ingekuwa heri kama watu wote wa BWANA wangekuwa manabii na kama BWANA… Read more “Ndugu wakae pamoja kwa umoja.”
SONGA MBELE HUNA MAISHA MAWILI, HIVYO MUNGU AKUSAIDIE.
1 John 2:19Walitoka kwetu, lakini hawakuwa wa kwetu. Maana kama wangalikuwa wa kwetu, wangalikaa pamoja nasi. Lakini walitoka ili wafunuliwe kwamba si wote walio wa kwetu. Sio… Read more “SONGA MBELE HUNA MAISHA MAWILI, HIVYO MUNGU AKUSAIDIE.”
TAARIFA YA PILI INAVYOUA WENGI
Watu wengi wameumizwa na marafiki, media, maadui, shetani, au na watu waliowaamini sana, sababu kubwa ikiwa KUTOJUA MADHARA YA TAARIFA YA PILI AMBAYO WAMEITOA WAO WENYEWE WAKIDHANI… Read more “TAARIFA YA PILI INAVYOUA WENGI”
SI KWA AJILI YAKO, NI KWA AJILI YAO.
Usingizi umekatika usiku, najaribu kupitia vitabu mbalimbali nakutana na ushuhuda wa muhubiri mmoja mkubwa ambaye alifika hatua ya kuacha anachokifanya. Anasema yeye hakuomba kuwa maarufu, ila kile… Read more “SI KWA AJILI YAKO, NI KWA AJILI YAO.”
VITU HALALI AU MATENDO HALALI YANAVYOTUKOSESHA FURSA KWA MUNGU.
Paulo anasema vitu vyote ni HALALI ila si vyote VIFAAVYO na vyote ni halali ila si vyote vijengavyo 1 kor 10: 23 Msitari huu nimeuelewa vizuri baada… Read more “VITU HALALI AU MATENDO HALALI YANAVYOTUKOSESHA FURSA KWA MUNGU.”
Chondechonde wanaume munapo amka.
Chondechonde wanaume unapoamka asubihi kwenda kazini ni vizuri kuamsha wake zenu mjue wapo wazima ndio muondoke kwenda kazini maana kuna wanawake wanalala kama wanawake wa kitabu. Kuamka… Read more “Chondechonde wanaume munapo amka.”
Naziamsha nia zenu safi kumbukeni.
1 Wapenzi, waraka huu ndio wa pili niwaandikiao ninyi; katika zote mbili naziamsha nia zenu safi kwa kuwakumbusha,2 mpate kuyakumbuka yale maneno yaliyonenwa zamani na manabii watakatifu,… Read more “Naziamsha nia zenu safi kumbukeni.”
Lichungeni kundi LA Mungu.
1 Nawasihi wazee walio kwenu, mimi niliye mzee, mwenzi wao, na shahidi wa mateso ya Kristo, na mshirika wa utukufu utakaofunuliwa baadaye; 2 lichungeni kundi la Mungu… Read more “Lichungeni kundi LA Mungu.”