Skip to content
cantonadigital

cantonadigital

Month: December 2019

Maisha ya jana ni kioo….

Maisha ya Jana yaweza kuwa kioo cha kujiangalizia leo, ili kesho yako iwe bora zaidi. Ni waoga pekee ndio hawataki kuonyesha maisha yao ya jana lakini wanasahau… Read more “Maisha ya jana ni kioo….”

December 24, 2019December 29, 2019 by CantonaDigital

UJUMBE KWA ANAYEUMIA MOYO

Mungu akinyamaza kimya kwenye jambo lako, unalotaka au unalotamani aongee BASI NA WEWE NYAMAZA KIMYA, NA KAMA ITABIDI KUONGEA HAKIKISHA MANENO YAKO NI YA KUMSHUKURU KWA KUNYAMAZA… Read more “UJUMBE KWA ANAYEUMIA MOYO”

December 24, 2019December 29, 2019 by CantonaDigital

IMANI NA UTII VINALETA MATOKEO YATARAJIWAYO.

Miaka yangu ya kumjua Mungu nimejifunza jambo hili muhimu sana, nimejifunza kwa kusoma maandiko, na kwa kuona kwa macho kile kinachotokea pale imani na utii vinapotumika MAJIBU… Read more “IMANI NA UTII VINALETA MATOKEO YATARAJIWAYO.”

December 24, 2019December 29, 2019 by CantonaDigital

Wewe si dhaifu……

Ulikuja Duniani peke yako na utaondoka peke yako, Mungu anayo sababu ya wewe kuwa peke yako kwenye maamuzi uliyofanya. Waoga na wasiojiamini ndio wanaohitaji kusimama na watu… Read more “Wewe si dhaifu……”

December 24, 2019December 29, 2019 by CantonaDigital

WAO WALIOPOKUWA WANATAZAMIA KUMMALIZA YEYE ALIKUWA ANATAZAMIA KUMALIZA KAZI.

Wakati waliomuua Yesu wakishangilia sana anapokaribia kukata roho wakisema sasa AMEKWISHA, wakijipongeza na kupeana zawadi kwa kugawana mavazi yake, wakimdhihaki kwa kila aina ya tusi na kejeli.… Read more “WAO WALIOPOKUWA WANATAZAMIA KUMMALIZA YEYE ALIKUWA ANATAZAMIA KUMALIZA KAZI.”

December 24, 2019December 29, 2019 by CantonaDigital

USIDHARAU NJIA/USHAURI/MTAJI/ MDOGO MAANA KWENYE HUO UDOGO KUNA JAMBO KUBWA MUNGU HUTAKA KUJITUKUZA

Mungu anapotaka kufanya jambo kubwa huwa hatumii vitu/watu/njia kubwa kupata matokeo makubwa. Yeye hutumia vitu/watu/njia ndogo kupata matokeo makubwa. Daudi alikusanya mawe matano kumfuata Goliath aliyemtukana Bwana,… Read more “USIDHARAU NJIA/USHAURI/MTAJI/ MDOGO MAANA KWENYE HUO UDOGO KUNA JAMBO KUBWA MUNGU HUTAKA KUJITUKUZA”

December 24, 2019December 29, 2019 by CantonaDigital

Katika sura mbili za upendo waweza chagua moja.

1.Tunawapenda watu wazuri, wenye hekima, wenye mvuto, maarufu, watu maalum, watu wema, sababu ya kuwapenda ni kwamba TUNAWAHITAJI WAJE WAONGEZE THAMANI KWENYE MAISHA YETU. 2. Tunawapenda watu… Read more “Katika sura mbili za upendo waweza chagua moja.”

December 24, 2019December 29, 2019 by CantonaDigital

VITU HALALI AU MATENDO HALALI YANAVYOTUKOSESHA FURSA KWA MUNGU.

Paulo anasema vitu vyote ni HALALI ila si vyote VIFAAVYO na vyote ni halali ila si vyote vijengavyo 1 kor 10: 23 Msitari huu nimeuelewa vizuri baada… Read more “VITU HALALI AU MATENDO HALALI YANAVYOTUKOSESHA FURSA KWA MUNGU.”

December 24, 2019December 29, 2019 by CantonaDigital

NENO HILI LIKUINUE MOYO WAKO.

Wafilipi 4:11-13 Si kwamba nasema haya kwa kuwa nina mahitaji; maana nimejifunza kuwa radhi na hali yo yote niliyo nayo.Najua kudhiliwa, tena najua kufanikiwa; katika hali yo… Read more “NENO HILI LIKUINUE MOYO WAKO.”

December 24, 2019December 29, 2019 by CantonaDigital

WAZO LA MNARA WA BABELI BADO LINAISHI

Nimewiwa siku nyingi kusema hili jambo, lakini kwa sababu zangu binafsi nimejizuia mpaka leo ambapo nimepata msukumo wa nguvu kumsaidia angalau mtu mmoja kujifunza na kuelewa jinsi… Read more “WAZO LA MNARA WA BABELI BADO LINAISHI”

December 24, 2019December 29, 2019 by CantonaDigital

Posts navigation

Older posts
Newer posts
Blog at WordPress.com.
cantonadigital
Blog at WordPress.com.
Privacy & Cookies: This site uses cookies. By continuing to use this website, you agree to their use.
To find out more, including how to control cookies, see here: Cookie Policy
  • Subscribe Subscribed
    • cantonadigital
    • Join 31 other subscribers
    • Already have a WordPress.com account? Log in now.
    • cantonadigital
    • Subscribe Subscribed
    • Sign up
    • Log in
    • Report this content
    • View site in Reader
    • Manage subscriptions
    • Collapse this bar
 

Loading Comments...